Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo unajua historia ya juzi sana.Kwenye hilo nawapa heshima ila pia ni vibonde ambao mmeshapokea vipigo vya haja toka kwa simba lunyasi.
Goli tano ni kipigo currently sana, kuna kingine cha sita bila au sita moja kama sijakosea, hivyo ni vipigo heavy ambavyo hamjaweza kuvirejesha.Tatizo unajua historia ya juzi sana.
Tumekutana mara ngapi toka enzi hizo? Nani kashinda mechi nyingi? Sare ngapi?
Idadi ya magoli Jumla yake mechi zote?
Hapo mkubwa ni mmoja tu.
Zile tano unajua chanzo chake? Labda si muhimu zinabaki kuwa tano. Mnyama hajawahi kula tano?Goli tano ni kipigo currently sana, kuna kingine cha sita bila au sita moja kama sijakosea, hivyo ni vipigo heavy ambavyo hamjaweza kuvirejesha.
Mie sijui chanzo ila najua mlikula hamsa, mshatupiga ila fuatilia nani anadaiwa, nani mwenye deni dhidi ya mwenzio kwenye upande wa vipigo heavy.Zile tano unajua chanzo chake? Labda si muhimu zinabaki kuwa tano. Mnyama hajawahi kula tano?
Goli tano au sita zina point ngapi?