DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Dk 90 zitaamua mkuu.Semeni yote ila katika jambo ambalo nina uhakika nalo ni points tatu kwenye mechi tutakayokutana na nyie tena baadae hapo mwakani, siku hiyo ata muwe magolikipa 10 na mchezaji wa ndani mmoja tu ni lazima mtapigika tu.
Umeambiwa kama umeshindwa kutikisa Mkia fanya kama unajikuna utaelewa somo tu mkuuNdoo gani?
Watutafutie mkoa wa kuchezaAsanteni vijana kwa kazi nzuri! Mikia itafute wimbo mwingine sasa, huu wa mechi za mikoani hauna mana tena! Sisi tunapiga kote kote!
Ni kweli mkuu! Walidhani sisi ni kama waoWatutafutie mkoa wa kucheza
Kagera sukari sio timu ya kubeza ata kidogo, kiukweli yanga kajitahidi sana, sikutegemea kama leo wangepata matokeo.Sio kupata matokeo mazuri ugenini pia nitimu gani unacheza nayo na unapata hayo matokeo. Kagera sio timu ya mchezo mchezo hongera Yanga
Tunakusubirini. Kuna dalili ya mikia kumfukuza kocha msimu huu.Muhimu ni tuombe uzima mkuu, hiyo siku ipo na inakuja.
Hata wimbo wa wana kikosi kipana hausikiki.Asanteni vijana kwa kazi nzuri! Mikia itafute wimbo mwingine sasa, huu wa mechi za mikoani hauna mana tena! Sisi tunapiga kote kote!
Mkuu, mchezo una matokeo matatu na unayajua. Ushindi ukipatikana kuwa na kelele ni muhimu.Tatizo lenu mkipata matokeo mnakuwa na kelele nyingi mno mtaani, nafikiri ni kwasababu hamuiamini 100% kama timu yenu inaweza kupata matokeo.
Kikosi kipana cha mbumbumbu kinazidiwa point 5 na kikosi chembambaTunakusubirini. Kuna dalili ya mikia kumfukuza kocha msimu huu.
Siku hizi Manara naye haonekani kwenye mediaKikosi kipana cha mbumbumbu kinazidiwa point 5 na kikosi chembamba
Kwa kweli nipo chumbani kabisa kwa sasa, nilikuwa nataka nisogee kwenye bar ya jirani hapa nipate chochote kitu lakini sina hiyo nguvu kwa kweli.
Baada ya kikosi kipana kukizidi kikosi chembamba mechi moja.Kikosi kipana cha mbumbumbu kinazidiwa point 5 na kikosi chembamba
Ha ha ha! Tulieni na kikosi chenu kipana, gari lisha waka hilo na breki halinaPunguzeni kelele, ndio kwanza ligi bado mbichi.