Kaitaba, Kagera: Kagera Sugar 1 -2 Yanga Afrika

Kaitaba, Kagera: Kagera Sugar 1 -2 Yanga Afrika

Semeni yote ila katika jambo ambalo nina uhakika nalo ni points tatu kwenye mechi tutakayokutana na nyie tena baadae hapo mwakani, siku hiyo ata muwe magolikipa 10 na mchezaji wa ndani mmoja tu ni lazima mtapigika tu.
Dk 90 zitaamua mkuu.
 
a.k.a malalamiko FC
Tatizo lenu mkipata matokeo mnakuwa na kelele nyingi mno mtaani, nafikiri ni kwasababu hamuiamini 100% kama timu yenu inaweza kupata matokeo.
 
Asanteni vijana kwa kazi nzuri! Mikia itafute wimbo mwingine sasa, huu wa mechi za mikoani hauna mana tena! Sisi tunapiga kote kote!
Punguzeni kelele, ndio kwanza ligi bado mbichi.
 
hivi nyie mikia naona mmesimamisha mikia yenu hiyo kwa hasiri ebu shusheni kwanza......!

nauliza hivi leo yanga kachezea uwanja wa taifa ndio maana kashinda?

si nauliza?


pumbavuuu yanga si wa mchezomchezo na safari ijayo tutawakata mikia hiyo kwa kisu butu na kuwanyoa kwa jiwe nywele hizo
 
Back
Top Bottom