Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Tusubiri tuone mwisho wa msimu nani ataibuka kidedea, wahenga husema achekae mwisho hucheka sana.Kocha wa Yanga wiki dar ,wiki Congo lkn timu iko vzr,
Kocha wa wenzao analala dar kila kitu ,timu inaenda mdg mdg
Si bure,Yanga wachunguzwe
Mkuu tuwe objective kwenye hili, viwanja vingi vya mikoani vina hali mbaya sana, mpira hauwezi kwenda vile wachezaji wanataka, kwa mfano uwanja wa njombe mji kwenye msimu uliopita uliuonaje? Binafsi niliuona kama moja ya viwanja vibovu kabisa msimu uliopita,ubora wa uwanja una uhusiano wa moja kwa moja na matokeo ya mpira mkuu.mkuu kaaa ukijua kwamba hakuna uwanja usiyo bora sema tu jitihada zako ndizo zitakufanya ushinde.....sijui kama uliona mechi kati ya lipuli na simba naweza sema wote ile siku walikuwa wamelewa maaana ule ni uzembe uliopitiliza narudia tena ni uzembe uliopitiliza ushindi popote bhana mwenzio akifanya vizuri mpongeze hata kwa kinafiki bhana young africans is the best one
Kaitaba stadium ni moja ya viwanja bora kabisa vinavyotumika kwenye ligi kuu nchini, narudia ni moja ya viwanja bora kabisa, dhana ya kupata matokeo mkoani inatokana na uhalisia wa viwanja vinavyopatikana huko.
Sidhani kama wataletaTuleteeni msimamo wa ligi sasa
Msimamo wa ligi hadi sasaTuleteeni msimamo wa ligi sasa
Kikosi kipana mbona kimecheza 12 sawa na kikosi dhaifu, mishahara hakuna, kilienda morogoro point 32 na kikosi kipana point 27 nini hasa maana ya kikosi kipana?, au ligi bado ipo mwanzoni maana la mikoani hamhusiki nalo.Msimamo wa ligi hadi sasaView attachment 946017
Mkuu ukiniuliza mimi hilo swali ni kunionea, mimi nimekupa msimamo uliomba upewe. Hilo swali ungemuuliza msemaji wa Simba (Haji Manara). Au mtafute msemaji wa Simba kwa upande jamii forum Mr. SemboKikosi kipana mbona kimecheza 12 sawa na kikosi dhaifu, mishahara hakuna, kilienda morogoro point 32 na kikosi kipana point 27 nini hasa maana ya kikosi kipana?, au ligi bado ipo mwanzoni maana la mikoani hamhusiki nalo.
Sawa mkuu, Sembo saidia hapa labda utajua kinachoendeleaMkuu ukiniuliza mimi hilo swali ni kunionea, mimi nimekupa msimamo uliomba upewe. Hilo swali ungemuuliza msemaji wa Simba (Haji Manara). Au mtafute msemaji wa Simba kwa upande jamii forum Mr. Sembo
Hivi simba leo hajacheza?, wengine tunategemea hapa kupata habariMsisahau simba lunyasi tuna kibarua cha kuiwakilisha nchi kimataifa siku ya jumatano tar 28/11,wakimataifa oyooooooooo.
Yule wa mikia fc ni mcheza mieleka sio kocha Mo kapigwa pesa pale na akina HajiKocha wa Yanga wiki dar ,wiki Congo lkn timu iko vzr,
Kocha wa wenzao analala dar kila kitu ,timu inaenda mdg mdg
Si bure,Yanga wachunguzwe
Hivi Sisi na nie kina nani huwa wana kelele wakishinda? Sisi tuna haki ya kushangilia kutokana na jinsi mnavyotuchukulia na tutawashangaza endeleeni kusubiri hapo hapoTatizo lenu mkipata matokeo mnakuwa na kelele nyingi mno mtaani, nafikiri ni kwasababu hamuiamini 100% kama timu yenu inaweza kupata matokeo.