Kaitaba, Kagera: Kagera Sugar 1 -2 Yanga Afrika

Kaitaba, Kagera: Kagera Sugar 1 -2 Yanga Afrika

Kocha wa Yanga wiki dar ,wiki Congo lkn timu iko vzr,

Kocha wa wenzao analala dar kila kitu ,timu inaenda mdg mdg

Si bure,Yanga wachunguzwe
 
Siku hiyo Yanga watampanga KINDOKI na atamaliza mechi ..hakuna subsititution ...
Tutawanyoa kipara kwa kiwembe bila kukitia maji kichwa chao.
 
Kocha wa Yanga wiki dar ,wiki Congo lkn timu iko vzr,

Kocha wa wenzao analala dar kila kitu ,timu inaenda mdg mdg

Si bure,Yanga wachunguzwe
Tusubiri tuone mwisho wa msimu nani ataibuka kidedea, wahenga husema achekae mwisho hucheka sana.
 
mkuu kaaa ukijua kwamba hakuna uwanja usiyo bora sema tu jitihada zako ndizo zitakufanya ushinde.....sijui kama uliona mechi kati ya lipuli na simba naweza sema wote ile siku walikuwa wamelewa maaana ule ni uzembe uliopitiliza narudia tena ni uzembe uliopitiliza ushindi popote bhana mwenzio akifanya vizuri mpongeze hata kwa kinafiki bhana young africans is the best one
Mkuu tuwe objective kwenye hili, viwanja vingi vya mikoani vina hali mbaya sana, mpira hauwezi kwenda vile wachezaji wanataka, kwa mfano uwanja wa njombe mji kwenye msimu uliopita uliuonaje? Binafsi niliuona kama moja ya viwanja vibovu kabisa msimu uliopita,ubora wa uwanja una uhusiano wa moja kwa moja na matokeo ya mpira mkuu.
 
Hivi ndugu zetu matokeo yakoje maana ratiba ilionyesha na wao kucheza leo
 
Na Kambarage je? Kirumba vipi, mwenzio Ghazwat kaingia mtini, amenyoosha mikono.
Kaitaba stadium ni moja ya viwanja bora kabisa vinavyotumika kwenye ligi kuu nchini, narudia ni moja ya viwanja bora kabisa, dhana ya kupata matokeo mkoani inatokana na uhalisia wa viwanja vinavyopatikana huko.
 
Tuleteeni msimamo wa ligi sasa
Msimamo wa ligi hadi sasa
FB_IMG_1543168407995.jpeg
 
Kikosi kipana mbona kimecheza 12 sawa na kikosi dhaifu, mishahara hakuna, kilienda morogoro point 32 na kikosi kipana point 27 nini hasa maana ya kikosi kipana?, au ligi bado ipo mwanzoni maana la mikoani hamhusiki nalo.
Mkuu ukiniuliza mimi hilo swali ni kunionea, mimi nimekupa msimamo uliomba upewe. Hilo swali ungemuuliza msemaji wa Simba (Haji Manara). Au mtafute msemaji wa Simba kwa upande jamii forum Mr. Sembo
 
Mkuu ukiniuliza mimi hilo swali ni kunionea, mimi nimekupa msimamo uliomba upewe. Hilo swali ungemuuliza msemaji wa Simba (Haji Manara). Au mtafute msemaji wa Simba kwa upande jamii forum Mr. Sembo
Sawa mkuu, Sembo saidia hapa labda utajua kinachoendelea
 
Msisahau simba lunyasi tuna kibarua cha kuiwakilisha nchi kimataifa siku ya jumatano tar 28/11,wakimataifa oyooooooooo.
 
Msisahau simba lunyasi tuna kibarua cha kuiwakilisha nchi kimataifa siku ya jumatano tar 28/11,wakimataifa oyooooooooo.
Hivi simba leo hajacheza?, wengine tunategemea hapa kupata habari
 
Tatizo lenu mkipata matokeo mnakuwa na kelele nyingi mno mtaani, nafikiri ni kwasababu hamuiamini 100% kama timu yenu inaweza kupata matokeo.
Hivi Sisi na nie kina nani huwa wana kelele wakishinda? Sisi tuna haki ya kushangilia kutokana na jinsi mnavyotuchukulia na tutawashangaza endeleeni kusubiri hapo hapo
 
Back
Top Bottom