Kaitaba, Kagera: Kagera Sugar 1 -2 Yanga Afrika

Kikosi kipana. Eti wanaweza kucheza mechi mbili siku moja. Akili za Haji na Bi. Hindu
Gari letu litachanganya muda sio mrefu, hapo ndipo mtakapojua kilichomtoa kanga manyoya ni nini.
 
Sisi mdogo mdogo tu,acha wengine waendelee kupiga majungu,saiz tupo mbele points 5 dadeq,Azam mlinzi wetu pale juu
Baadae mwakani tukikutana nakupiga, hivyo kwenye tano zinabaki mbili, ukipata draw moja uwanja wa jamhuri morogoro dhidi ya mtibwa au pale chamazi kelele zote zinaisha mnaanza kuraruana, kama ilivyokuwa msimu uliopita na huu pia simba bingwa.
 
Kuandika Yanga kwa herufi ndogo kwenye title ni dharau.
 
Wewe utakuwa Manunuzi FC.
 
Kuandika Yanga kwa herufi ndogo kwenye title ni dharau.
Kosa liko wapi wakati yanga timu ya kawaida sana, unaweza kuifananisha na Simba lunyasi kweli?
 
Katika watu wenye roho ngumu, ni wewe. Akina Sembo wameishasoma alama za nyakati wapo kimya. Labda upepo ubadirike.
Kumbe unajua kabisa uwezo wenu ni mdogo ila mna upepo tu kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…