Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Sisi tunachinja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
matonya wanakula mwewe..kesho SAA tatu asubuhi wanatua JNIA..Hamna timu humo.
matonya fc
😀pole mkuuNaona kama yanga atapata sare leo.
Ni vzr,watoto kula mapema pale all time champions of Tz anapochezaMpira ukiisha kwa matokeo haya nitalala mapema sana leo.
Waende FIFA. Haiwezekani wana vikosi vya billions Yanga iwe juu yao. Kuna mkono wa mtu.a.k.a malalamiko FC
Kikosi kipana. Eti wanaweza kucheza mechi mbili siku moja. Akili za Haji na Bi. HinduHata wimbo wa wana kikosi kipana hausikiki.
Zahera bonge la kocha.Pongezi kwenu Yanga.
Hakika mpira mnaucheza,
Pongezi kwake, Mwinyi Zabera, hakika ni kocha mzuri.
Baadae mwakani tukikutana nakupiga, hivyo kwenye tano zinabaki mbili, ukipata draw moja uwanja wa jamhuri morogoro dhidi ya mtibwa au pale chamazi kelele zote zinaisha mnaanza kuraruana, kama ilivyokuwa msimu uliopita na huu pia simba bingwa.Sisi mdogo mdogo tu,acha wengine waendelee kupiga majungu,saiz tupo mbele points 5 dadeq,Azam mlinzi wetu pale juu
Katika watu wenye roho ngumu, ni wewe. Akina Sembo wameishasoma alama za nyakati wapo kimya. Labda upepo ubadirike.Gari letu litachanganya muda sio mrefu, hapo ndipo mtakapojua kilichomtoa kanga manyoya ni nini.
Kuandika Yanga kwa herufi ndogo kwenye title ni dharau.Leo kutakuwa na mtanange wa kukata nashoka kwenye moja ya viwanja bora kabisa nchini, uwanja wa kaitaba huko bukoba, yanga atakuwa akitafuta points tatu muhimu ili kujikita kileleni mwa ligi na kuzidisha gap lake dhidi ya mtani wao, huku kagera sukari nao wakihitaji alama tatu muhimu kwasababu tangu kuanza msimu huu hawajawa na matokeo mazuri sana.
Kikosi cha yanga kina mabadiliko makubwa.... Walioanza ni Kabwili, Godfrey, Mwinyi Haji, Abdallah Shaibu, Vicent Chikupe, Feitoto, Ngassa, Maka Edward, Mateo Anthony, Jafari Mohamed na Makambo.
Update
Dakika ya 11 ya mchezo kagera 0 yanga 0.
Update
Dakika ya 20 ya mchezo gooooooooooool
Haritier Makambo anaiandikia yanga goli la kuongoza kwa njia ya kichwa.
Update
Kagera sugar wanapata mkwaju wa penalt hapa.
Anakwenda kupiga penalty Ramadhan Kapera gooooooooo kagera sukari wanarejea mchezoni katika dakika ya 32 ya mchezo.
Wakati huo huo kagera sukari wanafanya mabadiliko hapa, katoka Juma Nyosso kaingia Juma Shumvuni.
Update
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zinamalizika hapa uwanja wa kaitaba, kagera 1 yanga 1.
Kabla ya kukamilika kwa kipindi cha kwanza tunashuhudia kadi mbili za njano kwa wachezaji Ramadhan kapera wa kagera sugar na Paul Godfrey wa yanga.
Update
Dakika 45 za kipindi cha pili zinaanza hapa.
Update
Yanga wanafanya mabadiliko hapa, Heritier Makambo anakwenda bench na nafasi yake inachukuliwa na Ibrahim Ajibu Migomba.
Feitoto nae anaonyeshwa kadi ya njano hapa baada ya kumchezea ndivyo sivyo Peter Mwalyanzi wa kagera sukari.
Update
Mwinyi Haji Ngwali beki wa kushoto anakwenda bench na nafasi yake inachukuliwa na kiungo mshambuliaji Deus Kaseke.
update
70' kagera 1 yanga 1
Update
yanga anaandika goli la pili hapa,ni Raphael Daudi Lotti.
update
kagera sugar wanafanya mabadiliko hapa ,peter mwalyanzi anakwenda bench na nafasi yake inachukuliwa na Paul Ngayoma .
update
3+ zimeongezwa kabla ya kutamatisha mtanange huu.
Update
Mpira umekwisha hapa kaitaba kwa yanga kujichukulia alama zote tatu.
FT kagera sukari 1 yanga 2.
Wewe utakuwa Manunuzi FC.Baadae mwakani tukikutana nakupiga, hivyo kwenye tano zinabaki mbili, ukipata draw moja uwanja wa jamhuri morogoro dhidi ya mtibwa au pale chamazi kelele zote zinaisha mnaanza kuraruana, kama ilivyokuwa msimu uliopita na huu pia simba bingwa.