Kaiza chiefs wakimbilia CAF

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,175
Reaction score
1,588
Time ya kaiza chiefs imepeleka malalamiko yao caf wakisema hawana imani na marefa kutoka burundi ambao watachezesha mechi dhidi ya Simba

Binafsi Naona jmaa wameanza kugwaya mapema au wanawatikisa marefa

Je kwa taratibu za mpira imebaki sikumoja marefa watabafilishwa?
 
Hio inaitwa Mind Games. They are indirectly but purposely putting pressure on the match officials.
 
Mara refa mara kocha tukuelewe vipi? Waambie kaizer first eleven yao wote covid 19 wakaungane na wakina halima mdee bungeni
 
Hawa jamaa wanajua kucheza mindgames. Kule SA waligundua Simba wanapenda misifa. Wakawaandalia T-shirt kwa ajili wachezaji kuweka "sign" zao. Simba wakavimba kichwa wakajiona wakuuubwa!! Siku ya mechi kilichowakuta mpaka Manara akazimia ×2 [emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji1][emoji38]
 
Si kweli ila,kama unahisi wameanza kuingiwa hofu,basi somo lao limefanikiwa.
Inahitaji akili sana kujua tu kuwa hiyo ni moja ya mbinu ya mind game.

Kwa wachezaji watakaofikiri kama wewe huo ndio utakuwa mwanzo wa hitimisho la ushindi wa Kaizer.

Kifupi tu hao jamaa wamefanikiwa sana katika ushindi nje ya pitch.

Ukitaka kumuua sisimizi,muoteshe mbawa.Akiruka juu anakutana na ndege wakifikiri ni kumbi kumbi,akishuka chini,anakanyagwa na binadamu.
Usije ukaona mtu anakupamba ukavimba na kudhani ndivyo ulivyo,anaweza kuwa anatafuta njia laini ya kukumaliza.
 
Kaizer wame-adapt tabia za Kitopolo a.k.a Ndezi f.c
Ni ama zao ama zetu''Kaizer kwa Mkapa anakufa goli mlima.
 
Watafute visingizio ila kwa Mkapa waandae kapu la magoli.
 
Eh mara corona mara marefa,mbona jamaa wanaigopa sana Mkapa stadium
 
Watafute visingizio ila kwa Mkapa waandae kapu la magoli.
Na hichi ndo wanachotaka simba wafikiri. Wakishafikiri kama unavyofikiri watawaza kushambulia ziadi na wao watajiandaa kutumia makosa ya mabeki wakati wanashambulia. Hii itasababisha simba wawe wameshambulia sana na wana goal on targets nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…