Kaizer Chiefs ametinga fainali ya CAF champions league, kiboko ya vigogo wenye mdomo

Kaizer Chiefs ametinga fainali ya CAF champions league, kiboko ya vigogo wenye mdomo

Simba jua kali na joto la dar linambeba sana.. pia corona imembeba sana... ila mipango simba hana ya kumzidi kaizer chiefs msimu huu.

Kaizer hana mpira wowote wa maana.. ila ana game plan za maaana.. ame suprise timu nyingi sana mwaka huu.. hata simba hakutegemea zile 4
Lakini Simba pia ilimpiga 3!
 
Simba jua kali na joto la dar linambeba sana.. pia corona imembeba sana... ila mipango simba hana ya kumzidi kaizer chiefs msimu huu.

Kaizer hana mpira wowote wa maana.. ila ana game plan za maaana.. ame suprise timu nyingi sana mwaka huu.. hata simba hakutegemea zile 4
Wewe sasa ndio umesema ukweli wa kimpira. Kaizer ni kweli kabisa kwamba Wana game plan ambayo imewasaidia Sana. Wanakuacha uchezee Mpira unavyotaka lakini wakioiga counter attack basi inakuwa hatari kwa mpinzani.

Wanastahili pongezi.
 
Simba hii fainali ilikuwa yetu kabisa, nina hakika ukiwauliza hao Kaizer haya wao hawaamini kama waliitoa Simba SC, ila final wataenda pasuliwa vibaya sana na muarabu wa Misri.
Simba alipoishia ndio uwezo wao wa mwisho ulipoishia.mambo mengine nikujifariji tu.ila simba bado hana jambo kubwa sana zaidi ya mashabiki kuongea maneno mengi ila uwezo wetu kamili ndo ule.
 
Simba alipoishia ndio uwezo wao wa mwisho ulipoishia.mambo mengine nikujifariji tu.ila simba bado hana jambo kubwa sana zaidi ya mashabiki kuongea maneno mengi ila uwezo wetu kamili ndo ule.
Kweli mkuu, uwezo wa mwisho wa Simba nikumpiga kaizer aliyeingia fainali 3-0 na aggregate kuwa 3-4
 
Na nafasi kibao za wazi tulizochezea pale kwa Mkapa, hao Kaizer wana bahati sana.

Lini umewahi kupata bahati na wewe ukafika alipofika huyo Kaizer..

Ingekuwa mpira una bahati nusu ama fainali ungefika na wewe
 
Lini umewai kupata bahati na wewe ukafika alipofika huyo kaizer..

Ingekuwa mpira una bahati nusu ama fainali ungefika na wewe
Yaani timu imeitoa Simba na bado imetoa Wydad lakini wanakomalia ni bahati.
 
Yaani timu imeitoa Simba na bado imetoa wydad lakini wanakomalia ni bahati.
Kwani kuwatoa Wydad ndio kigezo gani? timu inashindwa kupata kwake hata goli moja haina lolote, hao Kaizer nasema tena hawaamini kama walitoka salama kwa Mkapa.

Wydad waarabu koko tu wale.

Huyo Ahly mwenyewe anaijua Simba kwa Mkapa ilimfanya nini.
 
Simba alipoishia ndio uwezo wao wa mwisho ulipoishia.mambo mengine nikujifariji tu.ila simba bado hana jambo kubwa sana zaidi ya mashabiki kuongea maneno mengi ila uwezo wetu kamili ndo ule.
Yes uwezo wetu kamili ndio ule, Finalist wote mwaka huu wamekula kipigo kwa simba.
 
Kwani kuwatoa Wydad ndio kigezo gani? timu inashindwa kupata kwake hata goli moja haina lolote, hao Kaizer nasema tena hawaamini kama walitoka salama kwa Mkapa.

Wydad waarabu koko tu wale.

Huyo Ahly mwenyewe anaijua Simba kwa Mkapa ilimfanya nini.
Kwahiyo, nyie Mikia ndo munacheza fainali?
 
Kaizer chiefs ametinga fainali ya caf kwa mara ya kwanza..

Tutegemee kama chelsea na ma city uefa final

Maana upande wa al ahly na esperence yeyote atakaepita ni kigogo..

Kaizer ameshatangulia fainali
Walioinyia fainali wameshachezea kichapo kwa simba tena walikua wanaomba poo...hapa kwa Mkapa.
Inatia matumaini kuwa tukiongeza spidi tunaweza...
 
Game 2 na waydad umeziangalia.. simba mtoto mdogo sana kwa shughuli kaizer aliyoipata kwa waydad..

Simba jua la dar liliwabeba. Ila mechi ya kwanza ... simba walikuwa wepesi sana.. kwa waydad kaizer kapiga shut moja tu on target mechi zote mbili na ndilo lililizaa goli... ila yeye kaizer kapigiwa mashut yanafika 50.. na ball possession mechi zote mbili kazidiwa mbali sana
Kwa hiyo hayo mashuti hamsini yalikua off target au??
 
Hamna timu hapo, Simba walizingua sana ile game SA.
Ile gemu gomes alikosea kidogo kuanza na ile defense line hasa mkude...tungeenda na ile ya sudan au congo tungefungwa labda mbili...
 
Kaizer chiefs ametinga fainali ya caf kwa mara ya kwanza..

Tutegemee kama chelsea na ma city uefa final

Maana upande wa al ahly na esperence yeyote atakaepita ni kigogo..

Kaizer ameshatangulia fainali
Ujinga unakusumbua.
 
Back
Top Bottom