Lakini Simba pia ilimpiga 3!Simba jua kali na joto la dar linambeba sana.. pia corona imembeba sana... ila mipango simba hana ya kumzidi kaizer chiefs msimu huu.
Kaizer hana mpira wowote wa maana.. ila ana game plan za maaana.. ame suprise timu nyingi sana mwaka huu.. hata simba hakutegemea zile 4
Labda CAF ya majungu na ushirikinaHivi sisi utopolo tutacheza lini makundi caf champions? Au mpaka Manji arudi kuikodisha utopolo yetu.
Na yeye alikuoiga 4=0Lakini Simba pia ilimpiga 3!
Wewe sasa ndio umesema ukweli wa kimpira. Kaizer ni kweli kabisa kwamba Wana game plan ambayo imewasaidia Sana. Wanakuacha uchezee Mpira unavyotaka lakini wakioiga counter attack basi inakuwa hatari kwa mpinzani.Simba jua kali na joto la dar linambeba sana.. pia corona imembeba sana... ila mipango simba hana ya kumzidi kaizer chiefs msimu huu.
Kaizer hana mpira wowote wa maana.. ila ana game plan za maaana.. ame suprise timu nyingi sana mwaka huu.. hata simba hakutegemea zile 4
Simba alipoishia ndio uwezo wao wa mwisho ulipoishia.mambo mengine nikujifariji tu.ila simba bado hana jambo kubwa sana zaidi ya mashabiki kuongea maneno mengi ila uwezo wetu kamili ndo ule.Simba hii fainali ilikuwa yetu kabisa, nina hakika ukiwauliza hao Kaizer haya wao hawaamini kama waliitoa Simba SC, ila final wataenda pasuliwa vibaya sana na muarabu wa Misri.
Kweli mkuu, uwezo wa mwisho wa Simba nikumpiga kaizer aliyeingia fainali 3-0 na aggregate kuwa 3-4Simba alipoishia ndio uwezo wao wa mwisho ulipoishia.mambo mengine nikujifariji tu.ila simba bado hana jambo kubwa sana zaidi ya mashabiki kuongea maneno mengi ila uwezo wetu kamili ndo ule.
Na nafasi kibao za wazi tulizochezea pale kwa Mkapa, hao Kaizer wana bahati sana.Kweli mkuu, uwezo wa mwisho wa Simba nikumpiga kaizer aliyeingia fainali 3-0 na aggregate kuwa 3-4
Na nafasi kibao za wazi tulizochezea pale kwa Mkapa, hao Kaizer wana bahati sana.
Yaani timu imeitoa Simba na bado imetoa Wydad lakini wanakomalia ni bahati.Lini umewai kupata bahati na wewe ukafika alipofika huyo kaizer..
Ingekuwa mpira una bahati nusu ama fainali ungefika na wewe
Kwani kuwatoa Wydad ndio kigezo gani? timu inashindwa kupata kwake hata goli moja haina lolote, hao Kaizer nasema tena hawaamini kama walitoka salama kwa Mkapa.Yaani timu imeitoa Simba na bado imetoa wydad lakini wanakomalia ni bahati.
Yes uwezo wetu kamili ndio ule, Finalist wote mwaka huu wamekula kipigo kwa simba.Simba alipoishia ndio uwezo wao wa mwisho ulipoishia.mambo mengine nikujifariji tu.ila simba bado hana jambo kubwa sana zaidi ya mashabiki kuongea maneno mengi ila uwezo wetu kamili ndo ule.
Kwahiyo, nyie Mikia ndo munacheza fainali?Kwani kuwatoa Wydad ndio kigezo gani? timu inashindwa kupata kwake hata goli moja haina lolote, hao Kaizer nasema tena hawaamini kama walitoka salama kwa Mkapa.
Wydad waarabu koko tu wale.
Huyo Ahly mwenyewe anaijua Simba kwa Mkapa ilimfanya nini.
Walioinyia fainali wameshachezea kichapo kwa simba tena walikua wanaomba poo...hapa kwa Mkapa.Kaizer chiefs ametinga fainali ya caf kwa mara ya kwanza..
Tutegemee kama chelsea na ma city uefa final
Maana upande wa al ahly na esperence yeyote atakaepita ni kigogo..
Kaizer ameshatangulia fainali
Kwa hiyo hayo mashuti hamsini yalikua off target au??Game 2 na waydad umeziangalia.. simba mtoto mdogo sana kwa shughuli kaizer aliyoipata kwa waydad..
Simba jua la dar liliwabeba. Ila mechi ya kwanza ... simba walikuwa wepesi sana.. kwa waydad kaizer kapiga shut moja tu on target mechi zote mbili na ndilo lililizaa goli... ila yeye kaizer kapigiwa mashut yanafika 50.. na ball possession mechi zote mbili kazidiwa mbali sana
YangaAfu nani aliendelea na mashindano?
Ile gemu gomes alikosea kidogo kuanza na ile defense line hasa mkude...tungeenda na ile ya sudan au congo tungefungwa labda mbili...Hamna timu hapo, Simba walizingua sana ile game SA.
Ujinga unakusumbua.Kaizer chiefs ametinga fainali ya caf kwa mara ya kwanza..
Tutegemee kama chelsea na ma city uefa final
Maana upande wa al ahly na esperence yeyote atakaepita ni kigogo..
Kaizer ameshatangulia fainali