Kaizer Chiefs ametinga fainali ya CAF champions league, kiboko ya vigogo wenye mdomo

Walioinyia fainali wameshachezea kichapo kwa simba tena walikua wanaomba poo...hapa kwa mkapa.
Inatia matumaini kuwa tukiongeza spidi tunaweza...

Je wewe South hukuomba po?

Simba na Kaizer nani amemtoa mwenzake mashindanoni?
 
Kwani kuwatoa Wydad ndio kigezo gani? timu inashindwa kupata kwake hata goli moja haina lolote, hao Kaizer nasema tena hawaamini kama walitoka salama kwa Mkapa.

Wydad waarabu koko tu wale.

Huyo Ahly mwenyewe anaijua Simba kwa Mkapa ilimfanya nini.

Je wewe simba unaamini kama ulitoka salama kwao na Kaizer?
 
Kwani kuwatoa Wydad ndio kigezo gani? timu inashindwa kupata kwake hata goli moja haina lolote, hao Kaizer nasema tena hawaamini kama walitoka salama kwa Mkapa.

Wydad waarabu koko tu wale.

Huyo Ahly mwenyewe anaijua Simba kwa Mkapa ilimfanya nini.
Wewe ishia kusema hivyo hivyo kuwa walifanywa nini wakati hao unaojigamba umewafanya kitu wameshavuka hatua na wanacheza fainali nawewe umeishia robo
 
Walioinyia fainali wameshachezea kichapo kwa simba tena walikua wanaomba poo...hapa kwa mkapa.
Inatia matumaini kuwa tukiongeza spidi tunaweza...
Umeandika bila kuwaza. Kwahiyo wao hawajakufunga hao walioingia fainali? Haukuomba poo huko sauzi?
 
Al Ahly pira biriani, mwache KC akabutue aone
 
Jua Kali na korona vinaibeba Simba na kuisahau Yanga na Namungo?
 
Alahry pira biriani, mwache KC akabutue aone

Kaizer hajafika fainali kwa kucheza na biashara ama azam.. safari ya kaizer kufika fainali ina jasho kubwa..

Kaizer amewatoa mabingwa wa Cameroon

Kaizer amewatoa mabingwa wa Angola

Kaizer amewatoa mabingwa wa Guinea

Kaizer amewatoa mabingwa wa Tanzania

Kaizer amewatoa mabingwa wa Morrocco

Na kuna mabingwa wengine nimewasahau amewafunga kwenye group stage..

Hao mabingwa wote Kaizer kawamudu na kufika fainali..

Anaanzaje kumuogopa huyo mmoja aliebaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…