Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
Wakati Yanga wanashambulia kwa Kasi wao wakipata mpira wanacheza na majukwaa. Vilakazi alikuwa na mambo Skudu tu hamna kitu. Kwa ninavyoiona Utopolo kazi kwa mtu kutakuwa na kazi.
Ila Kaizer ni Vibonde wameisha. Bora hata Marumo Gallants
Ila Kaizer ni Vibonde wameisha. Bora hata Marumo Gallants