Kaizer Chiefs ni vibonde kama vibonde wengine huko bondeni

Matteo Vargas

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
803
Reaction score
1,329
Wakati Yanga wanashambulia kwa Kasi wao wakipata mpira wanacheza na majukwaa. Vilakazi alikuwa na mambo Skudu tu hamna kitu. Kwa ninavyoiona Utopolo kazi kwa mtu kutakuwa na kazi.

Ila Kaizer ni Vibonde wameisha. Bora hata Marumo Gallants
 
Mumesahau nyinyi mbumbumbu mlikula 5.
 
Kwenye ile mechi wachezaji waliokuwa wanapigania nembo ya timu walikuwa hawazidi 5. Kwa hiyo ilikuwa ni wachezaji 17 dhidi ya 5. Ulitegemea nini wengine wameshakuja huko
Oya ndo umenifungua macho...kumbe walikuwa na maduka yao pale ubaya ubwela
 
Kumemucha huko
 
Attachments

  • Screenshot_20240728-221343.png
    687.1 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…