Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazier walifikaje fainali,wanarukaruka tu kama chura na mijezi yao..Mnyama angekuwepo angesumbua sana
Al ahly piga hizi kima, zikishinda hatutolala leo
Sasa naamini chini ya jua hakuna linaloshindikana..nakumbuka enzi hizo nipo skuli huyu commentator wa leo (Gharibu Mzinga) aliwahi Kuniambia 'satoh' siku moja nitakuja kuwa moja ya watangazaji Bora kabisa wa kandanda hapa bongo
Leo mwana anatangaza fainali ya mabingwa Africa..big up sn kwake
*Kaizer wanashinda dakika 30 za nyongeza
Never a red card
kaizer wamepigwa red hapa.
Dakika ya 47' Mashiane wa Kaizer Chief ala kadi nyekundu.
Half time Kaizer Chiefs 0 : 0 Al Ahly