Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
KUNA TIMU KWENYE LIGI NI DHOOFU ILHALI ILA KWENYE CHAMPS LEAGUE NI HATARI
LIGI YA NDANI SIO KIPIMO CHA UBOVU WA TIMU CHAMPS LEAGUE
chelsea je, madrid vipi naoCase study, Arsenal [emoji23][emoji23]
chelsea je, madrid vipi nao
OKAY, DAKIKA 90 MWAMUZI WA MCHEZONgoja tuone, lakini Amakhosi sio wagumu mkuu
Hawatoki kwa Simba SC.So what?
So what?
Hawatoki kwa Simba SC.
Tulieni Sasa mchecheto wa niniHawatoki kwa Simba SC.
KUNA TIMU KWENYE LIGI NI DHOOFU ILHALI ILA KWENYE CHAMPS LEAGUE NI HATARI
LIGI YA NDANI SIO KIPIMO CHA UBOVU WA TIMU CHAMPS LEAGUE
SAWA CHIEF, HILI NI SOKA LOLOTE LAWEZA KUTOKEA KATI YA MATOKEO MA3Kaka tukiweka utani pembeni kaizer chiefs ni wabovu sana hata kama wakitutoa haiondoi ubovu walokua nao na kwa team zilizobaki championshins league namuona simba fainali
Halafu haohao Chiefs walimchapa kinara Mamelodi Jumapili ya 25 April 2021.
Kwanini Yanga mna vijiba vya roho hivyo?KUNA TIMU KWENYE LIGI NI DHOOFU ILHALI ILA KWENYE CHAMPS LEAGUE NI HATARI
LIGI YA NDANI SIO KIPIMO CHA UBOVU WA TIMU CHAMPS LEAGUE
KUNA SEHEMU NIMETAJA YANGA HAPO? JARIBU KUTUMIA 0.1 YA AKILI YAKO BASI UNAPOSOMAKwanini Yanga mna vijiba vya roho hivyo??
Na ligi inakaribia kuishaMuda mchache uliopita, wapinzani wa Simba katika robo fainali ya Caf Champions League, Kaizer Chiefs wamefungwa goli 2-1 na Tshakhuma Fc inayofundishwa Dyran Kerr aliyewahi kuifundisha Simba miaka ya nyuma. Ikumbukwe Tshakhuma Fc inashika nafasi ya 14 katika ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL)...