ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Chelsea na madrid ni dhohofulihali kwenye ligi zao????chelsea je, madrid vipi nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chelsea na madrid ni dhohofulihali kwenye ligi zao????chelsea je, madrid vipi nao
Kwenye soka lolote linawezekana ikiwa pamoja na hao Kaizer kumpiga Simba nje ndani.Wameshinda game sita kati ya 28 hata Watford alimfunga Liverpool 3-0 na liver alikua hajafungwa hata game 1 na watford alishuka daraja
Hao kaizer tunaweza wapiga nje ndani
chelsea je, madrid vipi nao
Kwenye soka lolote linawezekana ikiwa pamoja na hao Kaizer kumpiga Simba nje ndani.
nimechukulia kama case study, kipindi hicho kabla ya ligi kukaribia mwishoni walikuwa hawajagain form kama waliyonayo sasa..haimaanishi wana kiwango cha chini bali kawaidaHao ni dhaifu kwenye ligi sasa?
Ubora wa hizo clubs zote ni wa kiwango cha chini..!?
Wamekuja kugain form hiki kipindi, wote sasa hivi wanapambania top four na madrid pia ambaye ana possibility ya kubeba ubingwa...hapa katikati kuna kipindi aliyumbaChelsea na madrid ni dhohofulihali kwenye ligi zao????
Madrid sio mbovu, au umeandik Madrid ya wapi?chelsea je, madrid vipi nao
KUNA MADRID YA CHAMPS LEAGUE NA MADRID YA LA LIGAMadrid sio mbovu, au umeandik Madrid ya wapi?
Point 3 nyuma ya kinara? Ndo unasema yupo ovyo?KUNA MADRID YA CHAMPS LEAGUE NA MADRID YA LA LIGA
HUJAONAGA TOFAUTI?
SISEMEI KWA CURRENT FORM HII YA KUELEKEA KUISHA KWA LIGIPoint 3 nyuma ya kinara? Ndo unasema yupo ovyo?
Uto huwa mnatafuta sababu za kuhalalisha wivu na husuda zenuKUNA TIMU KWENYE LIGI NI DHOOFU ILHALI ILA KWENYE CHAMPS LEAGUE NI HATARI
LIGI YA NDANI SIO KIPIMO CHA UBOVU WA TIMU CHAMPS LEAGUE
OKAYUto huwa mnatafuta sababu za kuhalalisha wivu na husuda zenu
Mtakufa na vijiba vya roho
Halafu haohao Chiefs walimchapa kinara Mamelodi Jumapili ya 25 April 2021.
Kaka tukiweka utani pembeni kaizer chiefs ni wabovu sana hata kama wakitutoa haiondoi ubovu walokua nao na kwa team zilizobaki championshins league namuona simba fainali
Mimi yanga... namuombea mtani njaa.. ila sioni kaizer chiefs akimtoa simba hii kwa mechi mbili home and away... sioni beki wa kumzuia miqquissone asisumbue , huku chama huku morrisson na hapo hapo sioni mshambuliaji wa kumzidi akili josh onyangoo... hao watu niliowataja ni wakubwa sana kwa kaizer chiefs..
Simba siipendi ila ina watu wawili ambao ni level ya juu sana kucheza ligi ya Tanzania . Watu hao ni luis miqquissone na josh onyango... hawa wakicheza at their best no one can stop them
Nakujua wewe Shabiki wa Yanga ukimaindi nenda kalale kenge wewe