Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imemfuta kazi kocha wake mkuu Gavin Hunt kutokana na mwenendo mbovu wa timu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Timu ya Mpira ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imemfuta kazi kocha wake mkuu Gavin Hunt kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo.

Hunt alijiunga na timu hiyo kuanzia Septemba 2020, na kutokea kipindi hicho ameiongoza timu hiyo kucheza michezo 44 na kushinda michezo 12, sare michezo 17 huku akifungwa michezo 15.

Ikumbukwe Kaizer chiefs wapo katika hatua ya nusu fainali katika mashidano ya klabu bingwa Afrika.

=====
xe29o0x08ibqw2qkshwt.jpeg

JOHANNESBURG - Kaizer Chiefs have announced the termination of the contract of head coach Gavin Hunt with immediate effect.

Assistant coaches Arthur Zwane and Dillion Sheppard will take charge of the team in the interim.

It’s been a difficult season for the coach, who was appointed to the role in September 2020, as a replacement for Ernst Middendorp.
 
Zile bao tatu kama wamesimama lazima tu angetimuliwa
 
Goli tatu bila Simba alizompiga Kaizer Chiefs pale kwa Mkapa zisingeweza kumuacha Kocha wao salama
 
Kwenye mechi ya ligi pia juzi wamecheza wakaongoza goli moja,mara jamaa wakachomoa na wakaongeza la pili.mpira ukaisha Kaizer kapigwa 2-1.
Sasa nikajiuliza hawa vilaza waliwafunga vipi Simba goli nne bila kule kwa Madiba?
 
Waliroga sana kenge wale
 
Timu ya Mpira ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imemfuta kazi kocha wake mkuu Gavin Hunt kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo.

Hunt alijiunga na timu hiyo kuanzia Septemba 2020, na kutokea kipindi hicho ameiongoza timu hiyo kucheza michezo 44 na kushinda michezo 12, sare michezo 17 huku akifungwa michezo 15.

Ikumbukwe Kaizer chiefs wapo katika hatua ya nusu fainali katika mashidano ya klabu bingwa Afrika.

=====
View attachment 1800583
JOHANNESBURG - Kaizer Chiefs have announced the termination of the contract of head coach Gavin Hunt with immediate effect.

Assistant coaches Arthur Zwane and Dillion Sheppard will take charge of the team in the interim.

It’s been a difficult season for the coach, who was appointed to the role in September 2020, as a replacement for Ernst Middendorp.
Yanga SC wamchukue ili awasaidie.
 
Kocha alikuwa hajui yule aliibahatisha Simba tu, pale kwa Mkapa angekufa hata goli 6 bahati yake.
 
Back
Top Bottom