Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Tunapenda muziki lakini mara nyingine kunakuwa na mistari ya kudhalilisha wanawake au kuchochea ukatili dhidi ya wanawake.
"Kaja gheto kapigwa mande" ni mistari inayopatikana kwenye wimbo wa wapolo wa Weusi, hayo maneno yakiwa ni maneno ya G-Nako, ambayo kimsingi yanasifia ubakaji
Serikali inazuia nyimbo zenye maudhui ya kukosoa serikali lakini inaruhusu maudhui ya kudhalilisha wanawake.
Je, unaujua wimbo gani mwingine ambao una mistari ya kusifia unanyanyasaji dhidi ya wanawake?
3 SOMEKwani mande ni nini?
WALE WASAFI PALE USAFINI KARIBU NYIMBO ZAO ZINA MATUSI NA HAZIFUNGIWITunapenda muziki lakini mara nyingine kunakuwa na mistari ya kudhalilisha wanawake au kuchochea ukatili dhidi ya wanawake.
"Kaja gheto kapigwa mande" ni mistari inayopatikana kwenye wimbo wa wapolo wa Weusi, hayo maneno yakiwa ni maneno ya G-Nako, ambayo kimsingi yanasifia ubakaji
Serikali inazuia nyimbo zenye maudhui ya kukosoa serikali lakini inaruhusu maudhui ya kudhalilisha wanawake.
Je, unaujua wimbo gani mwingine ambao una mistari ya kusifia unanyanyasaji dhidi ya wanawake?
Tunapenda muziki lakini mara nyingine kunakuwa na mistari ya kudhalilisha wanawake au kuchochea ukatili dhidi ya wanawake.
"Kaja gheto kapigwa mande" ni mistari inayopatikana kwenye wimbo wa wapolo wa Weusi, hayo maneno yakiwa ni maneno ya G-Nako, ambayo kimsingi yanasifia ubakaji
Serikali inazuia nyimbo zenye maudhui ya kukosoa serikali lakini inaruhusu maudhui ya kudhalilisha wanawake.
Je, unaujua wimbo gani mwingine ambao una mistari ya kusifia unanyanyasaji dhidi ya wanawake?
Niache kuruka na kuserebuka nianze kutafsiri maneno....mi Sina muda huo Kwa kweli
Ni kama nakuvumilia afu naelekea kushindwa....vizuri...huu Uzi wa pili mkuu unanijibu utakavyoFala wewe.
Kwamba unapitisha huo udharirishaji?
Sio serious hivo.Ni kama nakuvumilia afu naelekea kushindwa....vizuri...huu Uzi wa pili mkuu unanijibu utakavyo
Kwahiyo unaruka na kuserebuka usichokijua hata kama unatukanwa weweNiache kuruka na kuserebuka nianze kutafsiri maneno....mi Sina muda huo Kwa kweli [emoji855]
Maneno ni maneno tu ni vile unayachukulia mkuu....ukishindwa vumilia lianzisheKwahiyo unaruka na kuserebuka usichokijua hata kama unatukanwa wewe
Na kweli kwa Wadada wa sikuhizi Mande sio kitu cha kuwatishaTatizo ni lugha tu,lakini 3some au 4some ndiyo hiyohiyo MANDE,na madada wanafurahia,nashangaa wewe unavyosema wanadhalilishwa,utadhani hujui hayo mambo ni kawaida na madada na akina kaka wanainjoi.
Kuna dada namjua,anao uwezo wa kupigwa na wanaume sita yaani six,nayeye anainjoi,sijui unashangaa nini?
Acha kujifanya hujui.