Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Tunapenda muziki lakini mara nyingine kunakuwa na mistari ya kudhalilisha wanawake au kuchochea ukatili dhidi ya wanawake.
"Kaja gheto kapigwa mande" ni mistari inayopatikana kwenye wimbo wa wapolo wa Weusi, hayo maneno yakiwa ni maneno ya G-Nako, ambayo kimsingi yanasifia ubakaji
Serikali inazuia nyimbo zenye maudhui ya kukosoa serikali lakini inaruhusu maudhui ya kudhalilisha wanawake.
Je, unaujua wimbo gani mwingine ambao una mistari ya kusifia unanyanyasaji dhidi ya wanawake?