Kajala ajuta kupiga mitungi

Ziada

Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
82
Reaction score
17
Kajala Masanja amefunguka kuwa anajuta kunywa pombe baada ya kumsababishia maumimu makali hivi karibuni. Kajala ambaye anakimbiza kunako anga la filamu Bongo, amesema anasumbuliwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo sasa siku hiyo alikunywa sana pombe na kujikuta akipata maumivu makali tumbon
 
Kauzu kauzu tuuu hata umtie ndimu nyanya vitunguu lakini utamkuta kakutolea mimacho tuuuu
Huyu m.alaya tuu asikuumize kichwa
 
Pombe? Kumbe inasababisha vidonda vya tumbo? Bora niendelee na mmea tu
 
Pombe? Kumbe inasababisha vidonda vya tumbo? Bora niendelee na mmea tu
we liendeleze tu,mwenzako mmoja alivuta njiti alizokuwa anawashia mmea akawa anaziona kama vipande vya magogo.Akawa anarudi nyuma anakimbia anaruka juu akidhani magogo kumbe ni njiti alizotumia kulipulia mmea.Acha bangi.
 
Nasikia kafulia hatariiii...asisingizie mipombe ni stress zake tu hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…