platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
we liendeleze tu,mwenzako mmoja alivuta njiti alizokuwa anawashia mmea akawa anaziona kama vipande vya magogo.Akawa anarudi nyuma anakimbia anaruka juu akidhani magogo kumbe ni njiti alizotumia kulipulia mmea.Acha bangi.
Ha ha ha....kuna mwingine anaitwa chaUkucha
Last edited by a moderator: