Kajala alitaka kumlipia mume wa Florah Mbasha hela ya dhamana mahakamani

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kama ulikuwa hujui basi chukua hii, staa wa filamu za kibongo, Kajala Masanja alitaka kumlipia dhamana mume wa mwimbaji wa muziki wa injili, Florah Mbasha aitwaye Emmanuel Mbasha shillingi za kitanzania million tano(5).

Hata hivyo staa huyo alikuta tayari ndugu wa Emmanuel Mbasha wameshamlipia ndugu yao dhamana hiyo, hivyo zoezi lake hilo la kutoa msaada huo halikufanikiwa, hata hivyo mume wa Florah alimshukuru sana staa huyo kwa moyo wake huo wa upendo na huruma aliomuoneshea.
 
Aisee, kajala boss lady siku hizi nyie. Binamu umeona picha za birthday ya mwanae?
Ubarikiwe Kajala kwa moyo uliotuonesha, afu kama vipi hiyo 5M umpe tu mbasha akaanzie hata kibiashara since ulishapanga kuitoa kwa ajili yake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kajala kaa mbali na waume za watu mama, hutachelewa kuzushiwa majanga
 
kajala anaijua jera nyie acheni tu niliwai kukaa mwezi tu sitamani tena itokee aixee,we jaribu kujifungia chumbani kwako kwa siku moja tu bila simu,tv radio wala chochote cha kukurefresh mind kama majarida,magazeti na nk then kesho uje usimulie balaa lake
 

Eeh binamu ulifanya majanga gani na wewe mpaka yakakukuta
 
Na kajala mwenyewe mashalah ila hata husband wa flora ni handsome hatari

Sijui kwa nini florah kamuacha mumewe kaenda kwa gwajima ana sura kama nguchiro, au alikuwa hampi mambo vzur? Maana jamaa nae anaonekana goi goi tu
 
Eeh binamu ulifanya majanga gani na wewe mpaka yakakukuta

kuna mtu nilimuwekea dhamana by then akakimbia so ikabidi niwekwe kizuizin mpaka atakapopatikana
 
mwacheni mbasha ajilie vyake atoe stress.mkewe kamwaga mboga ngoja nae amwage ugali.unaambiwa hv,we ukisema wa nn kuna mwenzio anadai atampata lini na saa ngapi.baba kula mzigo km kawaida wala usiangalie pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…