Kajala alitaka kumlipia mume wa Florah Mbasha hela ya dhamana mahakamani

Kama ulishawahi kukaa mahabusu hata wewe ungemtolea kama uwezo huo unao.
 
Mwambie huyo kajala kasoma kafika hadi form two yule pale makongo

Mbona mnanichanganya? which is which?
kajala alikuwa demu wa vigodoro, baadae p-funk majani akamhurumia akajitolea kumrekebisha tabia. Akamng'arisha akang'aa, baadae akaja kukengeuka kama yule alomwimba kala jeremiah (sekela)

Acha uongo kajala kasoma jitegemee jkt sec nimesoma naye

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wakuu naomba mnieleweshe kuhusu dhamana, ina maana wema alisemekana amemtolea kajala sijui milioni kumi na ngapi kumbe hazikua cash
 
wakuu naomba mnieleweshe kuhusu dhamana, ina maana wema alisemekana amemtolea kajala sijui milioni kumi na ngapi kumbe hazikua cash

Pale kesi ilikuwa imeshaamuliwa. Aidha Kajala alipe Ml 13 ama akatumikie kifungo Jela..

Hivyo Wema alimsaidia Kajala kulipa deni na siyo dhamana..
 
Eheee hiiii mbasha atavumilia hilo ta.ko la kajala,mmmhhhhh mabwaku

Duh! Ila mbona kusaidiana ni asili ya wanadamu toka tumeumbwa, sema tu siku hizi dunia na maisha yamebadilika (na mitazamo pia)!! Watu tunahisi mtu hawezi kumsaidia mwenzie pasipo kutegemea masilahi fulani
 
Mbona mnanichanganya? which is which?
kajala alikuwa demu wa vigodoro, baadae p-funk majani akamhurumia akajitolea kumrekebisha tabia. Akamng'arisha akang'aa, baadae akaja kukengeuka kama yule alomwimba kala jeremiah (sekela)

Kunguru hafugiki
 
Kama alikuta ndugu tayari washamlipia hiyo hela si angewa'refund ndugu!
 
Kajala zamani siku hizi akuna kitu hata ta..ko limeisha

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mtu unakaa nyumba ya kupanga halafu unamtolea mtu dhamana ya 5 M??

Si unune kiwanja ukae kwako??
 
JF hat ukinuna basi utacheka ............Mungu awape afya wanachama wa JF nyote...........
 
Duh hii kali em ngoja nikajaribu afu nije kusimulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…