Kajala anavyokosea kumgeuza Paula kuwa shosti yake!

Kajala anavyokosea kumgeuza Paula kuwa shosti yake!

Unakuta mtu kakataa mimba kwa wanawake watano, kashiriki kutoa mimba za wanawake zake lakini anapata guts za kumkataza mtu asifurahie yai lake hahahaha the world is a crazy place walai.
 
Kajala anahitaji maombi, si Mama mzuri kwa sababu hajuwi kutunza mtoto. Haka katoto nakumbuka kalirekodiwa kanapakuliwa kikiwa na miaka kama 10 au 11 hivi kalikuwa kanaigiza sinema za ngono za Mama yake alizoziona kwenye video clips through her phone.
 
Duuh watu mnajua kulea kwa maneno.tungepata kuona watoto wenu. ............
 
Back
Top Bottom