Kajala aonyesha jeuri ya pesa kwa wana Bongo Movies

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304



MSANII wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni alionesha jeuri ya magari baada ya kutinga nayo mawili kwa nyakati tofauti kwenye kumbukumbu ya miaka miwili ya marehemu Steven Kanumba.


Muonekano wa ndani wa gari aina ya Toyota Bravis anayomiliki Kajala.



Awali kwenye ibada ya kumuombea marehemu, Kajala alifika kwenye kanisa moja lililopo

Kimara Temboni akiwa ‘anadraivu' gari aina ya Toyota Harrier nyeusi na kuzua gumzo eneo hilo
Kajala Masanja.
Baadaye msafara ulipohamia Makaburi ya Kinondoni alipozikwa Kanumba, alitinga na gari lingine aina ya Toyota Brevis lile ambalo ilidaiwa kuwa alinunuliwa na yule kigogo wa shosti wake, Wema Sepetu anayejulikana kwa jina la CK. Jeuri hiyo iliwafanya wengi kubaki na vingi viulizo
 

Attachments

  • kajala 12.jpg
    59.6 KB · Views: 1,992
Dont ever under estimate the powerbof pussy lol.. Uza mama kama shoga yako anauza kwann akuchukie nawe uzaa.
 
Hivi huyu ndo aliyekuwa mke wa Sajuki au nachanganya madesa?
 
Mimi nilijua alifika na V8 the akabadilisha akaja na Vogue ya pale CMC.Kumbe Bravis hebu badilisha headline pls.
 
Harrier na brevis si gari za kifahari dogo
Si gari za kifahari kwa mujibu wa nani? Mwenye carina ana gari ya kifahari kwa mwenye duet, mwenye rav 4 ana gari ya kifahari kwa mwenye carina, mwenye haria ana gari ya kifahari kwa wewe usie hata na vitz.
 
Pesa za mafisadi,wazungu wa unga?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kinachonishangaza ni kwa nini mfanyakazi wa ikulu awe multi milionea when I know by a fact kwamba watumishi wa ikulu aren't milionea kwa sababu hawalipwi kihivyo mpaka mtu aweze kuwa na familia yake kisha awe ana miliki recycled papuchi na kuwapa magari ya "kifahari." Something is hidden here....huyu kigogo ana biashara gani hapo ikulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…