Kajala aonyesha jeuri ya pesa kwa wana Bongo Movies

Goti la upande wa kulia Jeusi sana mbona

:sorry:
:closed_2:
 
hizi ndo akili za wasanii wetu wengi, yaani huishiaga hapo. ila akiojiwa anasema ana ndoto ya Kuwa msanii wa kimataifa ila ukiangalia nyendo zake wala haelekei, we utasikia tu, kaonyesha jeuri ya pesa au Mara wanagombania wanaume na kupiga picha chafu na kuzivujisha. lupita angeamua kuonyesha jeuri ya pesa na kugombania wanaume kama nyie angefika level zile? mkiojiwa msipende kusema Mna ndoto za kuwa wasanii wakubwa semeni tu mmetosheka kuwa wasanii wa hapa hapa.
 
kweli kabisa sijui wangefikia status kama mastaa wa hollywood ingekuaje....kwanza hzo movie zao haziko adhi ya kitwa film
 
Kajalaa songa mbelee fungua na biasharaa ila usiwe tu umeazima maana hamjambo
 
Back
Top Bottom