Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Wabongo bwana, utakuta yeye hata vitz hana, harrier anaita vigari vya kawaida
Vitz mbali hivo hata baskeli ukute hamiliki....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo bwana, utakuta yeye hata vitz hana, harrier anaita vigari vya kawaida
Hivi huyu ndo aliyekuwa mke wa Sajuki au nachanganya madesa?
kweli kabisa sijui wangefikia status kama mastaa wa hollywood ingekuaje....kwanza hzo movie zao haziko adhi ya kitwa filmhizi ndo akili za wasanii wetu wengi, yaani huishiaga hapo. ila akiojiwa anasema ana ndoto ya Kuwa msanii wa kimataifa ila ukiangalia nyendo zake wala haelekei, we utasikia tu, kaonyesha jeuri ya pesa au Mara wanagombania wanaume na kupiga picha chafu na kuzivujisha. lupita angeamua kuonyesha jeuri ya pesa na kugombania wanaume kama nyie angefika level zile? mkiojiwa msipende kusema Mna ndoto za kuwa wasanii wakubwa semeni tu mmetosheka kuwa wasanii wa hapa hapa.