Kajala awashukia wanaomsema kuhusu malezi ya mwanae, hichi ndicho alichosema

anamfanya shosti yake, yaani sasa hivi watagombania mambwana tena wanaumee wa siku hizi adabu awana watataka ya mama na ya mtoto waonje ladha zinafanana ila asije akajuta baadae. Madhara tutayapata jamii nzima kwani lulu alikuwa hv hv watu walisema mwisho ka kill mtu, hata yeye Kajala inaelekea alikuwa asikii la wazazi wala wa mama hk mtaani sasa tamaaa mbele jela ikamfuata, angewasikia tungepunguza mrundikano kwenye magereza yetu, kodi tungefanyia mambo mengine ilo limeshindikana na jela ndio imemzidisha kufyatua akili, alivyoenda tofauti na alivyorudi, alikuwa ajichubui sasa mkorogo kama kawa, mambo yake ya uchizi uchizi we kweli mzazi ulietoka kwenye maadili unaweza ukatoka na mtoto wako out na mabwana tofauti tofauti mara anko huyu kesho yle keshokutwa nyoso alafu yeye anaona sawa tu uthungu bongo mpe mtoto maadili ya kitaanzania usituletee watoto walioshindikana huku kwenye jamii mtoto ni wajamii nzima kama yeye anaona kafyatuka wapo watu wanaakili timamu wanaona sio malezi lazma wasema japo hawajamzaa ila ndio maadili yetu shame yake.
 
Ngojaa wazee wa mujini waaze kukatoboaa
 
kajala+majani=? what do u expect here? huyo dogo hata akitembea ------ wazi ni sawa tu
 
mtoto mwenyewe basi tu mama yake hajui. P fank alikua anajaribu kumchunga sana ila katoto kajanja kalikua na kavulana vilani kashamba tu Majani akitoka tu na kenyewe pale mbele ya wazee wa bamaga kalikua kanakuja na kukaa na kibwana chake na inasemekana alikua anawasiliana nacho kwa simu ya bibi yake bila majani kujua
 
Word..ila akiaharibika effect tunaipata wote ingekua anapata mzazi wake tu .mbona Kay asingeambiwa chochote..

Anayosema kweli zaeni wenu mumpangie jinsi ya kuvaa! Akiwmbia mtoto wake hana pesa ya kula au ada ya shule mtampatia? Au kujitia tu kwenye mambo ya watu! I think dunia ingekuwa better place kama kila mtu angemind business yake..init
 
Mtoto ni wa jamii.ila jitu zima hatuna shida naye
 
huyu kajala angemweka mtoto wake mbali na umaarufu wake...kutwa kwenye paty za wakubwa mtoto.mdogo yule acheze na watoto wa rika lake..
 
Anayosema kweli zaeni wenu mumpangie jinsi ya kuvaa! Akiwmbia mtoto wake hana pesa ya kula au ada ya shule mtampatia? Au kujitia tu kwenye mambo ya watu! I think dunia ingekuwa better place kama kila mtu angemind business yake..init

mtoto wako akiwa tumboni tu..akitoka ni wajamii nzima. ndio maana ukimuua unafungwa japo umemzaa wewe.
 
Wataanza kuchangia mabwana sasa hiviii

sitashangaa likitokea hili katoto ndio kwanza kamemaliza primary school kutwa kapo kwenye mahoteli kuhudhuria maparty na kina dj choka ...sasa katashika Archimedes principle na macalculation ya physics kweli?
 
Tuwekee picha yake tukaone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…