Rahabu
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 5,526
- 3,341
kwani umesha msikia mama ake lulu akilalamika
yuko kimaslah zaid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani umesha msikia mama ake lulu akilalamika
Wataanza kuchangia mabwana sasa hiviii
Kuna mzazi huwa anasema mwanae hayuko vizuri shuleni?
Eh .. haiw3zekani bana
Shangaaaa kila mtu husifia mwanae, wachache sana
Hehe mwanangu huyuuuu ana akili Sana kumbe school wa 50 katika vichwa 60
Kuna mzazi huwa anasema mwanae hayuko vizuri shuleni?
Word..ila akiaharibika effect tunaipata wote ingekua anapata mzazi wake tu .mbona Kay asingeambiwa chochote..
Anayosema kweli zaeni wenu mumpangie jinsi ya kuvaa! Akiwmbia mtoto wake hana pesa ya kula au ada ya shule mtampatia? Au kujitia tu kwenye mambo ya watu! I think dunia ingekuwa better place kama kila mtu angemind business yake..init
Mtoto ni wa jamii.ila jitu zima hatuna shida naye
Anayosema kweli zaeni wenu mumpangie jinsi ya kuvaa! Akiwmbia mtoto wake hana pesa ya kula au ada ya shule mtampatia? Au kujitia tu kwenye mambo ya watu! I think dunia ingekuwa better place kama kila mtu angemind business yake..init
Wataanza kuchangia mabwana sasa hiviii
"Nawashangaa sana watu wengine mnajifanya mnajua sana kuongea kuhusu mambo yasiyo wahusu kuna mzazi yoyote anataka mwanae apotee aache mambo ya kishamba unataka mtoto avae dira kwani yeye mtu mzima kama unaona namlea mtoto wangu vibaya niachie mwenyewe zaa wa kwako mlee vizuri
Hayo ni maneno ya mwanadada Kajala aliyoyasema leo baada ya fans wake mbalimbali kuanza kumponda kuwa anamlea mtoto wake ndivyo sivyo hususani suala kumvalisha mtoto wake vinguo vya wadada wa mjini
Kajala ambaye mara nyingi anaonekana akiweka picha mbalimbali za mwanaye huyo aitwaye Paula akiwa kwenye mapozi tofauti alizidi kusisitiza kuwa mtoto huyo ni wake na ambaye hapendi anachofanya basi atafute wake.
Kauli yake hiyo ilipokewa kwa hisia tofauti na mashabiki wake ambao baadhi yao walisema yafuatayo kumsapoti .
tena wakukome ma sis wanajua uchungu wako ulioubeba au au wanajua umemkuzaje mpaka kufika ... nyamafu hao wakosa akili wana low life yamaisha they av got nothing better to do Wa africa uwa tunamatatizo dunia nzima mtoto wa mwenzio anakuhusu nini ukse umuongelee kweli Education kitu kuzuri ukisoma unafikilia utaongelea kiumbe we kazi. Acheni ujinga na utumwa business za wenzenu zinakuwa zenu.. thats ma bby paullet right there and am proud she is a grown gal hun.. kay ma mdogo never give a ---- life is unbilivable!!!! Family first...
Na wengine walizidi kukazia kuwa abadilike kwani hiyo sio sawa kwa kusema
Umeambiwa kistaarabu tu hako nguo ckazur kwa umri wake ukizingatia unamtoto mrembo hebu uwe unamvalisha vzr sio nguo zakumfanya wanaume waanze kumtaman