Kajala: Harmonize ameanza mafunzo ya ubatizo. Kuitwa Gregory

Sio jambo la ajabu. Wakristu kibao tena watu maarufu sana wanabadili dini kila siku ili kuwapata wanawake wa kiislam mashombe wa kiarabu.

Mara nyingi mtu mkubwa anapobadili dini waamini wenzake husikitika lakini kule anakokwenda hufurahia kuwa wamepata muumini mpya
 
Tutajie hao wakristo kibao maarufu wanaobadili dini kila siku
 
Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory.
Ndoa njema.

Kasema lin hii na wapi
 
IMG_0503.jpg

hii nchi ngumu sana
 
Mmakonde tako la kajala linampsgswisha, achaneni na dubri nyie mnduku ulioeda age ni moto
 
Back
Top Bottom