mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory.
Ndoa njema.
Hongera kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory.
Ndoa njema.
ushamba,ulimbukeni,kutaka umaarufu..na kutokujitambua...anauza dini yake kwa kibibi kizee malaya wa tawn tu.
wamakonde sio watu wa kuwaamini
Kalishwa kitimoto kikamnogea akaona isiwe tabu, mbinguni kuna makao mazuri sana.Duh aiseeee maisha yanaenda kasi sana
Kitimoto ni kitamu kuliko mabikira 60 ahera...Hongera kwao
Asprin unataka kuharibu mjadala😎😎😎Kitimoto ni kitamu kuliko mabikira 60 ahera...
Kuna mmoja aliambiwa kama anamtaka binti basi abadili jina na kuitwa Msabaha akakubali kumbe mbele ya safari alikuwa na malengo ya kulizaFrom Rajabu to Gregory..
Under the influence of papuchii
Ni kama Thomas Party wa arsenal, Henry wa arsenal,Frank Ribery...........ni wengi tu na siyo story maana wengi wao hasa hao mastar mademu wa kiarabu ndiyo wanawazuzua......au huwa huoni shangwe la Muslims wanapocomment (alhamudilahi wenyewe wataiweka vizuri) nyingiiiiTutajie hao wakristo kibao maarufu wanaobadili dini kila siku
NakaziaaaaKitimoto ni kitamu kuliko mabikira 60 ahera...
Kila mtu hupenda alipotoka. Harmonize amepapenda zaidiFrom Rajabu to Gregory..
Under the influence of papuchii
Amalizie kabisa Gregory MendelMwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory.
Ndoa njema.
Tatizo ni kwamba inaonyesha kijana kafanya maamuzi kwasababu kazama sana kwenye mapenzi na sio kwamba kafanya maamuzi kwa kuingia deep kwenye maswala ya dini, kama wanavyofanya wengine.kikuna harmonize ni mtu mzima ana haki na uwezo wa kuchagua imani anayoona ni sahihi kwake. Tunaweza kuwa tulizaliwa kwa imani tulizo nazo na tukazirithi na kuendelea nazo au tukachagua imani tunayoona ni sahihi kwetu baada ya kufika utu uzima
Uhuru wa kuabudu
AhahahaKwahiyo yule HamoRapa nae atabadili ajiite GregRapa??
Tatizo ni kwamba inaonyesha kijana kafanya maamuzi kwasababu kazama sana kwenye mapenzi na sio kwamba kafanya maamuzi kwa kuingia deep kwenye maswala ya dini, kama wanavyofanya wengine.
So kiufupi kijana mapenzi yanamcontrol mpaka inafkia hatua haujui alitendalo.