Kajala: Harmonize ameanza mafunzo ya ubatizo. Kuitwa Gregory

Kajala: Harmonize ameanza mafunzo ya ubatizo. Kuitwa Gregory

umeandika mwenyew kataka kujua ulichoandika ni akina nan hao wanabadili din kila siku , halaf unauliza uraia wake si kituko hicho ?
Nimemshangaa sana huyo jamaa. Hao ndio wale wa kuandika vitu ambavyo hata hawavijui au kwa ushabiki tu na hawana fact.
 
Huu ni ulimbukeni mbaya sana, kwani akitumia hilo hilo Ramadhani kwenye ukristo lina shida gani? Watanzania hasa wanaotoka kwenye jamii za kishenzi huwa wati wa hovyo sana.
Nashangaa sana kuhusu hili suala kama Rajabu lina maana nzuri kuna ulazima gani wa kubadilisha jina?Angetile,Ipyana,Lugano...eti uyabadilishe yawe ya kizungu!kwa hili wanyaki wameonesha kujitambua sana yaani badala ya Lugano iwe Loveness!!!Big No.
 
Huu ni ulimbukeni mbaya sana, kwani akitumia hilo hilo Ramadhani kwenye ukristo lina shida gani? Watanzania hasa wanaotoka kwenye jamii za kishenzi huwa wati wa hovyo sana.
Wewe uliwahi kubatizwa Kwa jina la Ramadan ama
 
Kwa haraka haraka huwezi kumuelewa Huyu jamaa, ila kwenye kumbukumbu zangu ni muongo sana huyu,

Kuna siku, tuliaminishwa kuwa eti anaitwa Robert na kamvisha Pete Kajala.

Leo kaja na jipya kuitwa Gregory?na uongo mpya akisingiziwa kubatizwa,
Hatari sana na nitakuwa wa mwisho kuamini hili asiifanye Dini yetu kama taasisi ya kufanyia Maigizo yake.

Kama Wanapendana kweli, kwanini Kajala asibadili Dini akamfuata jamaa
Mkuu ulikuwa sahihi sana.🤣
 
Back
Top Bottom