Kajala: Harmonize ameanza mafunzo ya ubatizo. Kuitwa Gregory

Kajala: Harmonize ameanza mafunzo ya ubatizo. Kuitwa Gregory

Haina haja ya kuumiza akili kwa maamuzi ya mtu mwingne ukizingatia maamuzi yake ayaharibu wala kuathili maisha yako
 
Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory.

Ndoa njema.
Sipati picha tangazo kama hili unalitoa ukiwa mitaa flani ya Kandahar! Dah Tanzania tuna uhuru sana
 
Sipati picha tangazo kama hili unalitoa ukiwa mitaa flani ya Kandahar! Dah Tanzania tuna uhuru sana
Uhuru wa kuabudu chochote unachokiamini au kutokuabudu kabisa kunakosekana kwenye nchi chache sana za mafala.
 
Tatizo ni kwamba inaonyesha kijana kafanya maamuzi kwasababu kazama sana kwenye mapenzi na sio kwamba kafanya maamuzi kwa kuingia deep kwenye maswala ya dini, kama wanavyofanya wengine.

So kiufupi kijana mapenzi yanamcontrol mpaka inafkia hatua haujui alitendalo.
Watanzania tuna uhuru wa kuabudu. Unaweza kuabudu kwenye dini yoyote unayoona inafaa
 
Sio jambo la ajabu. Wakristu kibao tena watu maarufu sana wanabadili dini kila siku ili kuwapata wanawake wa kiislam mashombe wa kiarabu.

Mara nyingi mtu mkubwa anapobadili dini waamini wenzake husikitika lakini kule anakokwenda hufurahia kuwa wamepata muumini mpya
Sasa wafurahie kupata harmo? Wamepata hasara
 
G kama G
Jamaa anaonyesha mapenzi mpk vinyweleo vinaona wivu
 
Back
Top Bottom