Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tv yako inatoa picha mbaya mno duhh mpana si mpana (plasma itakuwa)![]()
![]()
Nashangaa shepu hii sio ya kuvaa nguo kama hizi halafu ktk TV
hahahaaaaaUnataka aishie kutangaza Biko tu.......!
Hata hivyo mbona yuko sawa na amenivuta hata mimi wiki lijalo nataka nicheze na nikishinda zawadi lazima aniletee yeye,wengine sichukui.
AhahahahaUnataka aishie kutangaza Biko tu.......!
Hata hivyo mbona yuko sawa na amenivuta hata mimi wiki lijalo nataka nicheze na nikishinda zawadi lazima aniletee yeye,wengine sichukui.
Nina mguu zaidi ya huo lkn nakula bamiahuo mguu akigandamiza kabamia katasimama kweli.mguu kama tembo wenye mihogo huyo tembo anawahusu
Nina mguu zaidi ya huo lkn nakula bamia