Kajala Kamrithisha mtoto wake mirathi ya Udangaji

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Mtoto kaipokea Mirathi kutoka kwa mama yake na anaisimamia vema kabisa bila shida yeyote.

Maisha ni kupanga,ukiamua kumsomesha mtoto ili ndiyo uwe urithi wake wewe msomeshe, ikiwa una chembe chembe za Udangaji na Usimbe basi mwanao mrisishe hivyo ili vimsaidie maishani.

Kuna kipindi cha maisha yao ambayo wanasema ni halisi huko Azam ingawa wanadhani wanafurahisha ila wanajidharirisha sana.


Your browser is not able to display this video.



Ni hayo tu kwa Leo.

Ndimi Mzee wa Sina mengi.

TUKANA UONE
 
Weka picha ya huo udangaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ