Kajala Masanja....nifanye nini

Uwii, nimekumbuka sasa. Umbea kweli kazi. Alietukana ni yule dadake richard benzosijuinini huko. Mwanamke anatapika matusi balaa. Hawa mashosti zako sawa hela wanazo, ila nadhani wana matatizo ya kisaikolojia.
na wale mbusi usisahau kuwakatia majani. shamimu hawezi kutukana kwenye video labda copy yake hahaha......
 
Last edited by a moderator:
Sorry kama sio wewe basi nimechanganya
nakumbuka uliwahi anzisha thread hapa JF ukitaka wauza madawa wote watajwe
na tusiwaogope wala kuwaonea haya....au sio wewe?

we nae kama huna #team The Boss shauri yako!
ndo uishie kuuza karanga tu!
mujhini hapa mnymwezi wewe ukiwa na team nini sijui team nini hata ufanye kitu gani wapo watakaokufa tu na wewe!
 
Last edited by a moderator:
utajicarry!
 
Uwii, nimekumbuka sasa. Umbea kweli kazi. Alietukana ni yule dadake richard benzosijuinini huko. Mwanamke anatapika matusi balaa. Hawa mashosti zako sawa hela wanazo, ila nadhani wana matatizo ya kisaikolojia.

Hahahahaha umenikumbusha lynda.....khaaa mjini kazi ati. ingekuwa kijijini walaaaaaaaaaa mzee fulani anawaita mnaonywa yanaisha....yakizidi mnafukuzwa kijijini.
 
Baada ya kelele mingi ooohhh wanatuharibia watoto na vijana wetu mara ohh mdogo wangu anateseka
leo yamekua hayo..
Uliwazuga vizuri watu wa jamii forum we mala nani asiyekujua we na kiblog chako ingekua sio sheria za JF
ningekutaja hadi jina. Haya nenda kakito.. mbeshe tena kwa wauza sembe wako Tuliokutajia humu.
 
Hunijui wala huwezi kunijua. Ukweli ulishasemwa....Shamimu ana shida gani na mtu?au ni chuki zenu tu? mumewe ni muuzaji basi wekeni ushahidi. Nawe wahi ukaki...to....mbeshe kwa baba/mama yako
 
Hunijui wala huwezi kunijua. Ukweli ulishasemwa....Shamimu ana shida gani na mtu?au ni chuki zenu tu? mumewe ni muuzaji basi wekeni ushahidi. Nawe wahi ukaki...to....mbeshe kwa baba/mama yako

:bored:

Ushahidi kwani vile Vitunguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…