Kajala Masanja, shukrani ya Punda ni mateke

Wacha kumsema mwenzako wewe polisi umeenda au unasemea hapa kwa mbali, wacha kila mtu abebe mzigo wake pu*ba**
 
Wapuuzi wameshaanza kumlilia roli modo wao,yanajificha kwenye kivuli cha kujifanya yanamsema kajala,kumbe wapo kilioni.
Usifurahie, China walishindwa hiyo vita mpaka wakaamua atakaekamtwa apigwe risasi. Mtumiaji na muuzaji ni vitu viwili tofauti, haya twende.
 
Usifurahie, China walishindwa hiyo vita mpaka wakaamua atakaekamtwa apigwe risasi. Mtumiaji na muuzaji ni vitu viwili tofauti, haya twende.
Kwa sasa sifurahi,lakini ikijulikana ni kweli anauza/anatumia basi si tu nitafurahi,lakini pia nitafanya na sherehe kabisa.
 
Rafiki wa kweli wa wema ni mama yake tu. Wengine wote wapo kimaslahi kwake. Cheki page za timu wema wapo kimya kama sio wenyewe busy na biashara za matangazo.
Vipi huyu shostito nae keshatoa hata pole?
 
Kwa sasa sifurahi,lakini ikijulikana ni kweli anauza/anatumia basi si tu nitafurahi,lakini pia nitafanya na sherehe kabisa.
Usubilie kwako kunakuja, namnukuu Mch P.Msigwa." Umaskini hauwezi kukutoka kwa kumchukia tajiri"
 
Uko sahihi. Huwa wanatuona maboya kwa hivyo virushwa wanavyopewa na chama cha mapapa. Acha waisome
 
Usubilie kwako kunakuja, namnukuu Mch P.Msigwa." Umaskini hauwezi kukutoka kwa kumchukia tajiri"
Kwanza sichukii tajiri kwa vile na mimi ni tajiri mtarajiwa,lakini nakuapia kama kuna tajiri wa madawa ya kulevya sio tu namchukia,lakini natamani nipate ujasiri wa kumwagia petrol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…