Kajala Masanja, shukrani ya Punda ni mateke

usijifunue
 
kajala hiv sku hz muvi hazina soko ss yeye anabihashara gn hapa mjini
 
Hawa wasanii hawa wanachokifanya kila kipindi cha miaka mitano acha tu wasagwe tena wasagwe kweli kweli ili akili zao zikae sawa.
Ikifika 2020 wawe na akili timamu.
Kamateni wooote swaga ndani wote !
Mkuu pale wanakuwa wapo kazini haimaanishi wakiwa wanaipa promo CCM basi na wao wanaenda kuipigia kura CCM

Unaweza kukuta mtu kazunguka karibu TZ nzima kuipa promo CCM lakini kura yake kaitupia CDM
 
Jambo la aibu sana nikikumbuka jinsi wema alivyojitolea kumlipia kajala pesa ili asiende lupango leo hii sikutegemea awe wa kwanza kumkimbia bibadamu ni sumu we fanya mambo yako mwenyewe siku ziende
 
acha tuone Giza linavyoendelea kujitenga na Nuru
 
Tenda wema siyo Wema sepetu uende zako!
 
Wapuuzi wameshaanza kumlilia roli modo wao,yanajificha kwenye kivuli cha kujifanya yanamsema kajala,kumbe wapo kilioni.

Wengi wamejaa wivu, angekuwa chini ya mti anauza maandazi wasingemsema.

Pia wanamsema utafikiri walimpa taarifa, then ilibidi aache shughuli zake na kwenda polisi kuongea na mtu. Kwanza ambaye sio mfungwa na wala hakuna mmoja wao kati ya wanaomsakama, wanajua Wema limempata nini kituoni haswa.
 
Nae atasubiri afikishwe mahakamani kwa misokoto yake...
 
Ila ushost nao kazi.....huhuhu sema ndio hivyo uwezi ishi bila shost...hehehe nilikuPenda ga shost wangu.hehehe habari yako uko uliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…