Kajala Masanja, shukrani ya Punda ni mateke

Kajala Masanja, shukrani ya Punda ni mateke

Hapa sizungumzii punda wauza unga,maana mijitu itaamza kuandika barua hapa,wewe kajala nilikua nakulia Timing tu siku zote hizo ambazo mwenzio kakamatwa kwa shutuma za madawa, nikajua mwenzangu na mimi uta show love pengine hata ya kinafki,eeh warumi mie nikashangaa kuona bibie ndo kwanza huna habare umejibeba mwenyewe na akina lemutuz nyamtumbo hao Arusha mkaenda kula bata,which means ulifurahia mwenzio kupatwa na matatizo,ndio tunajua mna ugomvi bado ila kwenye issue kama hii atleast ungeonyesha kujali walau hata kutoa pole, ushasahau mwenzio aligombana na familia yake kwa ajili yako utoke selo, leo ndo unajifanya unajua starehe,hao akina albert msando cjui huyo mwanasheria mbona hakukusaidia ulipokua jela wkati yeye ni mwanasheria, sasa hivi ndo anajifanya kukujua sana? hakyamungu wewe una matatizo ,umeshindwa hata kwenda polisi kumuona? hata kama angekufukuza lakini umefika umesha play part yako,wewe una experience ya polisi,ungeenda kumtoa hofu na kumfariji mwenzio,ingekua poa sana , na wewe lulu mnafiki sana unajifanya hujui kinachoendelea sasa hivi ila kwenye party za wem hukauki kuuza sura na uanduje wako,mtoto mchawi sna, msisingizie sijui kesi iko polisi mnaogopa kuingilia,kwani mkienda kumuona ina maanisha mna support tuhuma zake? , na wewe wolper c unajifanya shoga ake wema? tena huko china mlikokutana mkajishaua kupiga picha wote kumbe unafiki tu, kwanza na wewe uitwe polisi,kila siku china unaenda kwa kazi gani?kajala Mungu anakuona tena wewe ndo wa kwanza kulaumiwa kuliko mtu mwingine,kweli tenda wema nenda zako.ptuuu
540bf6b8217a539309c82f7c3c27663a.jpg
usijifunue
 
kajala hiv sku hz muvi hazina soko ss yeye anabihashara gn hapa mjini
 
Hawa wasanii hawa wanachokifanya kila kipindi cha miaka mitano acha tu wasagwe tena wasagwe kweli kweli ili akili zao zikae sawa.
Ikifika 2020 wawe na akili timamu.
Kamateni wooote swaga ndani wote !
Mkuu pale wanakuwa wapo kazini haimaanishi wakiwa wanaipa promo CCM basi na wao wanaenda kuipigia kura CCM

Unaweza kukuta mtu kazunguka karibu TZ nzima kuipa promo CCM lakini kura yake kaitupia CDM
 
Jambo la aibu sana nikikumbuka jinsi wema alivyojitolea kumlipia kajala pesa ili asiende lupango leo hii sikutegemea awe wa kwanza kumkimbia bibadamu ni sumu we fanya mambo yako mwenyewe siku ziende
 
Aiseee mie nimemuona kajala kama mtu asiyekuwa na fadhila kabisa.Katika hiki kipindi mie nilihisi utakuwa mwanzo wao wa kupatana.Nilitegemea mtu wa kwanza kujitokeza polisi ni Kajala ila hana hata chembe ya fadhila wala ustaarabu yani yeye ndio kwanza anapost anavyokula bata wakati mwenzake alimlilia.
By the way wanasemaga tenda wema ondoka zako na malipo ni hapa hapa duniani lets wait and see
acha tuone Giza linavyoendelea kujitenga na Nuru
 
Aiseee mie nimemuona kajala kama mtu asiyekuwa na fadhila kabisa.Katika hiki kipindi mie nilihisi utakuwa mwanzo wao wa kupatana.Nilitegemea mtu wa kwanza kujitokeza polisi ni Kajala ila hana hata chembe ya fadhila wala ustaarabu yani yeye ndio kwanza anapost anavyokula bata wakati mwenzake alimlilia.
By the way wanasemaga tenda wema ondoka zako na malipo ni hapa hapa duniani lets wait and see
Tenda wema siyo Wema sepetu uende zako!
 
Wapuuzi wameshaanza kumlilia roli modo wao,yanajificha kwenye kivuli cha kujifanya yanamsema kajala,kumbe wapo kilioni.

Wengi wamejaa wivu, angekuwa chini ya mti anauza maandazi wasingemsema.

Pia wanamsema utafikiri walimpa taarifa, then ilibidi aache shughuli zake na kwenda polisi kuongea na mtu. Kwanza ambaye sio mfungwa na wala hakuna mmoja wao kati ya wanaomsakama, wanajua Wema limempata nini kituoni haswa.
 
Nae atasubiri afikishwe mahakamani kwa misokoto yake...
 
Ila ushost nao kazi.....huhuhu sema ndio hivyo uwezi ishi bila shost...hehehe nilikuPenda ga shost wangu.hehehe habari yako uko uliko
 
Back
Top Bottom