Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,347
Hapa sizungumzii punda wauza unga,maana mijitu itaamza kuandika barua hapa,wewe kajala nilikua nakulia Timing tu siku zote hizo ambazo mwenzio kakamatwa kwa shutuma za madawa, nikajua mwenzangu na mimi uta show love pengine hata ya kinafki,eeh warumi mie nikashangaa kuona bibie ndo kwanza huna habare umejibeba mwenyewe na akina lemutuz nyamtumbo hao Arusha mkaenda kula bata,which means ulifurahia mwenzio kupatwa na matatizo,ndio tunajua mna ugomvi bado ila kwenye issue kama hii atleast ungeonyesha kujali walau hata kutoa pole, ushasahau mwenzio aligombana na familia yake kwa ajili yako utoke selo, leo ndo unajifanya unajua starehe,hao akina albert msando cjui huyo mwanasheria mbona hakukusaidia ulipokua jela wkati yeye ni mwanasheria, sasa hivi ndo anajifanya kukujua sana? hakyamungu wewe una matatizo ,umeshindwa hata kwenda polisi kumuona? hata kama angekufukuza lakini umefika umesha play part yako,wewe una experience ya polisi,ungeenda kumtoa hofu na kumfariji mwenzio,ingekua poa sana , na wewe lulu mnafiki sana unajifanya hujui kinachoendelea sasa hivi ila kwenye party za wem hukauki kuuza sura na uanduje wako,mtoto mchawi sna, msisingizie sijui kesi iko polisi mnaogopa kuingilia,kwani mkienda kumuona ina maanisha mna support tuhuma zake? , na wewe wolper c unajifanya shoga ake wema? tena huko china mlikokutana mkajishaua kupiga picha wote kumbe unafiki tu, kwanza na wewe uitwe polisi,kila siku china unaenda kwa kazi gani?kajala Mungu anakuona tena wewe ndo wa kwanza kulaumiwa kuliko mtu mwingine,kweli tenda wema nenda zako.ptuuu

Sijakuelewaacha tuone Giza linavyoendelea kujitenga na Nuru
Ni msemo mpya ama?Tenda wema siyo Wema sepetu uende zako!
Wewe umeenda??binamu kula tano
nimeamini pata shida umjue rafiki wa kweli
yaan kajala sio mtu hata kidogo mwanamke ana roho mbaya yuleee..
daahh!hata kujikosha kashindwa
hata kama wema ana kasoro zake Ila kwa alilomfanyia kweli ashindwe ht tu ile kupostii
kazidiwa hadi na jike shupaa..
Wema ndo ujifunze hapa...
Team Wema mnunulieni boss wenu ex-pel mmemsikia wenyewe analalamika polisi kuna mbu.
Ile audio itamcost..kwani lazima?..hao waloenda kumuona wamemrekodi!
K-lyin na Miriam Odemba hawakumuweka Mange Kimambi kuwa role model wao mkuu.acha ajifunze hata kama wanamsingia dawa itakuwa imemuingia akitoka atawapigia simu wakina k-lyin na miriam odemba wamefanikiwa vipi ku maintain maisha yao na ustaa
Wema na kajala hawaongei siku hizi, sasa from no where Kajala afunge kibwebwe eti aende hapo central kumuwekea dhamana unataka aporomoshewe matusi ya kila aina kutoka kwa wema na mama yake?Jambo la aibu sana nikikumbuka jinsi wema alivyojitolea kumlipia kajala pesa ili asiende lupango leo hii sikutegemea awe wa kwanza kumkimbia bibadamu ni sumu we fanya mambo yako mwenyewe siku ziende
Wema mtoto wa diplomat anashobo mkuu, anawaona wenzake wote makalio.Wema na kajala hawaongei siku hizi, sasa from no where Kajala afunge kibwebwe eti aende hapo central kumuwekea dhamana unataka aporomoshewe matusi ya kila aina kutoka kwa wema na mama yake?
Pia million 7 ya kumtoa Kajala gerezani ilitolewa na CK mzee wa kufoji cheque ambaye baadaye walilipana na Kajala wakiwa wawili chumbani na ndiyo chanzo cha ugomvi wa hawa mabinti.