Kajala Masanja, shukrani ya Punda ni mateke

Hata kama asipo mwona haina ulazima kwanza wema anafanyaga mambo yake kwa kutaka sifa ..ndiyo ajifunze hakuna wakumuamini zaidi ya mungu wake pekee
 
Hapa sizungumzii punda wauza unga,maana mijitu itaamza kuandika barua hapa,wewe kajala nilikua nakulia Timing tu siku zote hizo ambazo mwenzio kakamatwa kwa shutuma za madawa, nikajua mwenzangu na mimi uta show love pengine hata ya kinafki,eeh warumi mie nikashangaa kuona bibie ndo kwanza huna habare umejibeba mwenyewe na akina lemutuz nyamtumbo hao Arusha mkaenda kula bata,which means ulifurahia mwenzio kupatwa na matatizo,ndio tunajua mna ugomvi bado ila kwenye issue kama hii atleast ungeonyesha kujali walau hata kutoa pole, ushasahau mwenzio aligombana na familia yake kwa ajili yako utoke selo, leo ndo unajifanya unajua starehe,hao akina albert msando cjui huyo mwanasheria mbona hakukusaidia ulipokua jela wkati yeye ni mwanasheria, sasa hivi ndo anajifanya kukujua sana? hakyamungu wewe una matatizo ,umeshindwa hata kwenda polisi kumuona? hata kama angekufukuza lakini umefika umesha play part yako,wewe una experience ya polisi,ungeenda kumtoa hofu na kumfariji mwenzio,ingekua poa sana , na wewe lulu mnafiki sana unajifanya hujui kinachoendelea sasa hivi ila kwenye party za wem hukauki kuuza sura na uanduje wako,mtoto mchawi sna, msisingizie sijui kesi iko polisi mnaogopa kuingilia,kwani mkienda kumuona ina maanisha mna support tuhuma zake? , na wewe wolper c unajifanya shoga ake wema? tena huko china mlikokutana mkajishaua kupiga picha wote kumbe unafiki tu, kwanza na wewe uitwe polisi,kila siku china unaenda kwa kazi gani?kajala Mungu anakuona tena wewe ndo wa kwanza kulaumiwa kuliko mtu mwingine,kweli tenda wema nenda zako.ptuuu
540bf6b8217a539309c82f7c3c27663a.jpg

Hata hawa wanakula ngada
 
Mm sio shabiki wa wasanii ila kwa hili dar hata mm nimeumia sana hata kama mtu ana makosa ni yake kwenda kumuona ni jbo jingine ila tusiingilie sana maana naweza kuta tayari walishagombana si mnajua Maisha ya wasanii wetu
 
Hapa sizungumzii punda wauza unga,maana mijitu itaamza kuandika barua hapa,wewe kajala nilikua nakulia Timing tu siku zote hizo ambazo mwenzio kakamatwa kwa shutuma za madawa, nikajua mwenzangu na mimi uta show love pengine hata ya kinafki,eeh warumi mie nikashangaa kuona bibie ndo kwanza huna habare umejibeba mwenyewe na akina lemutuz nyamtumbo hao Arusha mkaenda kula bata,which means ulifurahia mwenzio kupatwa na matatizo,ndio tunajua mna ugomvi bado ila kwenye issue kama hii atleast ungeonyesha kujali walau hata kutoa pole, ushasahau mwenzio aligombana na familia yake kwa ajili yako utoke selo, leo ndo unajifanya unajua starehe,hao akina albert msando cjui huyo mwanasheria mbona hakukusaidia ulipokua jela wkati yeye ni mwanasheria, sasa hivi ndo anajifanya kukujua sana? hakyamungu wewe una matatizo ,umeshindwa hata kwenda polisi kumuona? hata kama angekufukuza lakini umefika umesha play part yako,wewe una experience ya polisi,ungeenda kumtoa hofu na kumfariji mwenzio,ingekua poa sana , na wewe lulu mnafiki sana unajifanya hujui kinachoendelea sasa hivi ila kwenye party za wem hukauki kuuza sura na uanduje wako,mtoto mchawi sna, msisingizie sijui kesi iko polisi mnaogopa kuingilia,kwani mkienda kumuona ina maanisha mna support tuhuma zake? , na wewe wolper c unajifanya shoga ake wema? tena huko china mlikokutana mkajishaua kupiga picha wote kumbe unafiki tu, kwanza na wewe uitwe polisi,kila siku china unaenda kwa kazi gani?kajala Mungu anakuona tena wewe ndo wa kwanza kulaumiwa kuliko mtu mwingine,kweli tenda wema nenda zako.ptuuu
540bf6b8217a539309c82f7c3c27663a.jpg

Hivi warumi unamjuwa Kajala au unamsikia tu? Yule demu ni kibaka na kahaba mkubwa tu hapa mjini....hana kazi inayoeleweka ila anaishi kwa uuzaji papuchi ili awekwe mjni. Aache kujiuza ili akamsalimie Wema, nani atamlipia pango la nyumba yake?
 
Lakini nadhani tumesahau kwamba kesi ya Kajala kipindi kile ilikuwa tofauti na hii ambayo mlimbwende Wema anashutumiwa, mi nadhani tungeiacha Jamhuri iamue kwanza nini kitafuata baada ya hapa then tuangalie upepo upande mwingine, tusiwe wepesi wa kuhukumu jamani! Kesi ya madawa si ya kitoto ikilinganishwa na kesi ya kutakatisha fedha kama si utapeli wa nyumba hah hah time will tell!
 
Kwenye Hizo ndio akili za kajala, ni ndogo sana kwakua kamtu kenyew kanaitwa kajala.. angeitwa lijala labda ingesaidia... anauza papuch tuu aliemtoa sero anang'atwa tjj na mbu sero.. .angempelekea tuu hata dawa ya mbu ya kupaka ya mbu ya 2k

Aaaaaggghh .. maisha ya bongo bila unafiki hayaend Hamfrey polepole
 
binamu kula tano
nimeamini pata shida umjue rafiki wa kweli

yaan kajala sio mtu hata kidogo mwanamke ana roho mbaya yuleee..
daahh!hata kujikosha kashindwa
hata kama wema ana kasoro zake Ila kwa alilomfanyia kweli ashindwe ht tu ile kupostii

kazidiwa hadi na jike shupaa..

Wema ndo ujifunze hapa...
Wewe umeenda??
 
Nani anapenda matatizo?!

Ukijipendekeza pendekeza wakati kama huu unaweza kushangaa na wewe humo.

Unaenda kumtembelea kituoni unakutana na Makonda anakumbuka kuwa jina lako lilisahulika alafu anakutia ndani
 
kwa hiyo wewe unataka watu waishi utakavyo wewe na wafanye upendavyo wewe?
 
mange na yeye aje kumuona wema kama anajali kwani marekani ni mbinguni ajitokeze kama mwema sio lawama tu toka atorokee ughaibuni
 
Team Wema mnunulieni boss wenu ex-pel mmemsikia wenyewe analalamika polisi kuna mbu.
 
acha ajifunze hata kama wanamsingia dawa itakuwa imemuingia akitoka atawapigia simu wakina k-lyin na miriam odemba wamefanikiwa vipi ku maintain maisha yao na ustaa
 
K-lyin na Miriam Odemba hawakumuweka Mange Kimambi kuwa role model wao mkuu.
 
Jambo la aibu sana nikikumbuka jinsi wema alivyojitolea kumlipia kajala pesa ili asiende lupango leo hii sikutegemea awe wa kwanza kumkimbia bibadamu ni sumu we fanya mambo yako mwenyewe siku ziende
Wema na kajala hawaongei siku hizi, sasa from no where Kajala afunge kibwebwe eti aende hapo central kumuwekea dhamana unataka aporomoshewe matusi ya kila aina kutoka kwa wema na mama yake?

Pia million 7 ya kumtoa Kajala gerezani ilitolewa na CK mzee wa kufoji cheque ambaye baadaye walilipana na Kajala wakiwa wawili chumbani na ndiyo chanzo cha ugomvi wa hawa mabinti.
 
Wema mtoto wa diplomat anashobo mkuu, anawaona wenzake wote makalio.
 
Back
Top Bottom