Kajala Masanja, shukrani ya Punda ni mateke

Kajala Masanja, shukrani ya Punda ni mateke

Nani anapenda matatizo?!

Ukijipendekeza pendekeza wakati kama huu unaweza kushangaa na wewe humo.

Unaenda kumtembelea kituoni unakutana na Makonda anakumbuka kuwa jina lako lilisahulika alafu anakutia ndani
fact
muda kama huu amna kujuana unaweza ukaenda kumtembelea na wewe ukajumlishwa naye
 
Nimtazame nani!
Nimwamini nani!
Wananigeukia,vigeugeu
Vigeugeu,vigeugeu wananigeukia..
 
Oke wakina dada mkimaliza umbea wenu muachiyeni mkee wangu aje tulale
 
Me navyoona wengi wenu mnataka mumuone kajala akimpost wema...kwenye mitandao ... Sasa akimpa pole kwenye post ya insta ina faida gan......afu mnalalamika hajaenda kumtembelea cetral mbona nyie mko mjin hapa hapa na hamjaenda...kaz kukaa kwenye mitandao kuangalia nan anapost nini
 
Uzuri wa wema,ana madhaifu yake mengine lakini hana roho ya kimaskini.
 
Wema na kajala hawaongei siku hizi, sasa from no where Kajala afunge kibwebwe eti aende hapo central kumuwekea dhamana unataka aporomoshewe matusi ya kila aina kutoka kwa wema na mama yake?

Pia million 7 ya kumtoa Kajala gerezani ilitolewa na CK mzee wa kufoji cheque ambaye baadaye walilipana na Kajala wakiwa wawili chumbani na ndiyo chanzo cha ugomvi wa hawa mabinti.
Ohoooo!!!
 
wema hanaga rafiki wa kweli sema ni mgumu kuelewa, kazi kujipendekeza
 
Mlitaka aende halafu kuanze kusema "Kajala" ndie amemrekodi..?
Watanzania hatuna jema angeenda hapo mngeanza kusema kaenda kinafiki mbona hajamposti IG kumpa pole.
 
Back
Top Bottom