Kajala Masanja simuelewagi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Huyu Mama si ndiye aliyekua anamshutumu Hamisa kumpeleka mwanae kwa Rayvanny , Kajala huyu huyu alimpeleka Rayvanny polisi kisa anatembea na mwanae ambaye ni mwanafunzi, leo hii anamuachia tena yule yule aliyemdhalilisha mwanae mitandao ndo adate na mwanae na she doesn’t care at all.

Mh nilikua nataka kumchamba ila roho inakataa Coz huyu Mama akili zake sio nzuri kabisa, anakompeleka mwanae sipo kabisa, mtoto akimshindwa polisi au UKIMWI vitamsaidia kulea mtoto wake, mi namuonea huruma tu Coz ndo mtoto wake wa pekee Jamani, mdomo koma Warumi mie ptuu , yetu macho tu wambea tutayaona.


 
Familia yenu kijijini inakushinda,umeshupalia ya kajala...wabongo hopeless kabisa[emoji2][emoji2]
 
Binti ambaye ni zao la mama bongo muvi baba bongo fleva hapo unatarajia binti awe na tabia za aina gani?

Bongo muvi na bongo fleva wakizaa mtoto anakuwa na tabia gani kwani?!

Mtoto wa nyoka ni nyoka!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…