warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Aisee huyu dada yuko poa sana,nilikuwa namuangalia juzi kati kwenye mkasi,dah anajielezea vizur sana yupo muwazi na maisha yake,hana majivuno kabisa,mrembo,kwa kweli nilitamani niendelee tu kumsikiliza,alikiri kuwa alikuwa na haraka na ndoa hakumchunguza vizur mume wake(tamaa),wazazi wake hawakuwa na million kumi na tatu za kumtoa jela,mama yake hana gari,lulu ndie aliyemfundisha kuingia instagram,japokuwa mume wake ndie chanzo cha yeye kuingia jela lakini bado anaonekana anampenda,wametofautiana na wema lakini hakuweza kumuongelea vibaya kwenye media kama wasanii wengine wafanyavyo,alikir kwa kinywa chake kuwa alikimbia shule.yaani nimemkubali sana huyu dada yuko poa sana na anaishi maisha yake halisi ni hayo tu.