Kajala masanja

Kajala masanja

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Aisee huyu dada yuko poa sana,nilikuwa namuangalia juzi kati kwenye mkasi,dah anajielezea vizur sana yupo muwazi na maisha yake,hana majivuno kabisa,mrembo,kwa kweli nilitamani niendelee tu kumsikiliza,alikiri kuwa alikuwa na haraka na ndoa hakumchunguza vizur mume wake(tamaa),wazazi wake hawakuwa na million kumi na tatu za kumtoa jela,mama yake hana gari,lulu ndie aliyemfundisha kuingia instagram,japokuwa mume wake ndie chanzo cha yeye kuingia jela lakini bado anaonekana anampenda,wametofautiana na wema lakini hakuweza kumuongelea vibaya kwenye media kama wasanii wengine wafanyavyo,alikir kwa kinywa chake kuwa alikimbia shule.yaani nimemkubali sana huyu dada yuko poa sana na anaishi maisha yake halisi ni hayo tu.
 
aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee................!
 
hata tukisema nini mdada ni bomba mbaya anawakimbiza mastaa wote wa kike....muulizeni ramsey noah wa NIGERIA.Kuhusu tabia mbaya kila mtu anazo sema we uliziona au kuzisikia kwa kuwa ni staa! Mwenye link ya ile show ya mkasi aliyofanya na SALAMA tafadhali!
 
Ht mm sikuiona..natamani niione
 
Huyu binti ni mzuri na kweli amejitahidi kuwa muwazi, nilipenda alipojutia kuhusika kuuza nyumba, kwa kukaidi mawazo ya wazazi wake. Ila amejichubua sana kiasi kwamba ule uzuri wake wa asili haupo tena.
 
daah pale kajala alipondosha chozi ilinigusa sana, na aliongea ukweli hata kama wengine wanasema mwanzon alikua na tabia za ajabu i think kwa sasa kajirekebisha kwan hakuna aliye mkamilifu chini ya hili jua
 
And Me Too
 
Back
Top Bottom