Kajala masanja

Huyu binti ni mzuri na kweli amejitahidi kuwa muwazi, nilipenda alipojutia kuhusika kuuza nyumba, kwa kukaidi mawazo ya wazazi wake. Ila amejichubua sana kiasi kwamba ule uzuri wake wa asili haupo tena.

sijui nani anawadanganyaga kutumia hayo makitu ya kujichubua, wanadhani ndo wanapendeza kumbe wanakuwa kituko
 
Itakua you tube next monday.....s ource official mkasi account ya fb...
 
sijui nani anawadanganyaga kutumia hayo makitu ya kujichubua, wanadhani ndo wanapendeza kumbe wanakuwa kituko

Liwema sepetu ndo limempa....kajala hastahili kuwa na ushoga na wema...anapendeza akiwa na kina riyama...ni mtazamo tuuu
 
alijieleza vizuri kwa utulivu mkubwa bila makeke ya akina dada wa siku hizi.
Kukubali makosa ya kutosikiliza wazazi ametoa somo kama star lakini zaidi kukiri jinsi mama yake alivyokuwa anatembea umbali mrefu kumpelekea chakula jela ilinigusa pia.
Kwa ufupi Kajala amekua sasa!
 
MTAZAMO,kuna kujisahau,kwani Lulu humuoni???
 
Last edited by a moderator:
"Chapa kazi kama adili na kafaya bado neck of the hood maujanja suplaya wanasema wana vipaji nikitumia wanagwaya check time mwana mda wako una expire"-chap chap
 
Liwema sepetu ndo limempa....kajala hastahili kuwa na ushoga na wema...anapendeza akiwa na kina riyama...ni mtazamo tuuu

halafu binafsi huyu mdada namkubali, anajitahidi sana ktk fani, sijui kwanini havumi!!
 
Kajala huyu labda kama katulia sasa, lakini akiwa binti mdogo kabisa hapo Mbuyuni Primary alikuwa mgawaji mbunye hakuna mfano...
 
Liwema sepetu ndo limempa....kajala hastahili kuwa na ushoga na wema...anapendeza akiwa na kina riyama...ni mtazamo tuuu

sijafurahishwa na ulivyotumia LIWEMA,huyu wema ndio kweli anajichubua na inatia kinyaa lkn sidhani kama ni vizuri kumuita binadamu mwenzio liwema.
Na huyo kajala sidhani kama alishikiwa bastola ndo akajipaka huo mkorogo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…