Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
hahahahhahaaaaaaaaaa:clap2:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza angalia mkasi online kupitia hii kitu hapa Official MkasiTV YouTube Channel - YouTube
Huyu binti ni mzuri na kweli amejitahidi kuwa muwazi, nilipenda alipojutia kuhusika kuuza nyumba, kwa kukaidi mawazo ya wazazi wake. Ila amejichubua sana kiasi kwamba ule uzuri wake wa asili haupo tena.
hata tukisema nini mdada ni bomba mbaya anawakimbiza mastaa wote wa kike....muulizeni ramsey noah wa NIGERIA.Kuhusu tabia mbaya kila mtu anazo sema we uliziona au kuzisikia kwa kuwa ni staa! Mwenye link ya ile show ya mkasi aliyofanya na SALAMA tafadhali!
sijui nani anawadanganyaga kutumia hayo makitu ya kujichubua, wanadhani ndo wanapendeza kumbe wanakuwa kituko
alijieleza vizuri kwa utulivu mkubwa bila makeke ya akina dada wa siku hizi.
Kukubali makosa ya kutosikiliza wazazi ametoa somo kama star lakini zaidi kukiri jinsi mama yake alivyokuwa anatembea umbali mrefu kumpelekea chakula jela ilinigusa pia.
Kwa ufupi Kajala amekua sasa!
Liwema sepetu ndo limempa....kajala hastahili kuwa na ushoga na wema...anapendeza akiwa na kina riyama...ni mtazamo tuuu
Wema tabia ya kutengeneza story ili awe juu ndo ambayo inaboa sanahalafu binafsi huyu mdada namkubali, anajitahidi sana ktk fani, sijui kwanini havumi!!
namkubali, hana majivuno, lipfunky limechangia kuharibu maisha yake.
Liwema sepetu ndo limempa....kajala hastahili kuwa na ushoga na wema...anapendeza akiwa na kina riyama...ni mtazamo tuuu
MKASI SO6E01 WITH KAJALA MASANJA [VIDEO]. | JESTINA GEORGEHt mm sikuiona..natamani niione
Hebu mwenye contact zake anisaidie tafadhali,
Kajala huyu labda kama katulia sasa, lakini akiwa binti mdogo kabisa hapo Mbuyuni Primary alikuwa mgawaji mbunye hakuna mfano...