Hhhhhhaaaa mbona mzuri tu nawee
sidhani km ananyoa jamani dina lloooh
tuko pamoja kasoro mmoja tu hapo
kwi kwi kwiiii
Huyo Paula nishapiga sana hapo .
Joyce Swai nampata vizuri....daah hivi na ww sijakupitia ama ulikua wa ki local
una ushkaji na Muuza Sura?