Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

mi namuonaga hvyo hvyo siku zote ngoja waje wataalamu hapa watatuambia

Inaweza kuwa akawa hana kabisa jpo sina uhakika mie nakumbuka nilishawahi kusoma na mkaka ambaye hajawahi kuota nywele wala nyusi
 
Tatizo kajala anamuanika sana bintiye...

Na wanaume ni mafisi hawachelewi kumharibu

mbaya zaid anamfanya kama shosti hiyo ni mbaya sana kwenye malez....atakuwa hawez kumdiscipline pale anapokesea..anamuingiza kwenye adulthood kabla ya wakati
 
Too bad mwenyewe haoni

Anadhani ndio kumpenda mwanae

Na dunia ilivyoharibika hii namhurumia binti yake

mbaya zaid anamfanya kama shosti hiyo ni mbaya sana kwenye malez....atakuwa hawez kumdiscipline pale anapokesea..anamuingiza kwenye adulthood kabla ya wakati
 
Hahahaha ukute tunajuana sema hizi I'd zinaficha

aisee rudi mbea mwenzetu
yaani mi mwenyewe naona martenity inaisha hiyooo
ntaanza kumisika
humu kujuana tunajuana sana hasa wale wa2000s skonga zanaki,jangwani,kisutu,forodhani na azania
tuition kwa mchikidown,mwenge kwa mtegetwa au mr evans yaani km umepita humoo tunajuana hapa
 
mgole nampata sana
nae alikua ndo walewale alikua anakaa GG yule kuna siku aligombana na dada mmoja kisa mshkaji flani

Foridhani kulikua na watoto balaa kuna mmoja anaitwa Tuma rafiki yake munira....pia kulikua na mtoto Farhat aisee watoto walikua watamu wakikuona na ndinga kali ushamaliza kazi zamani magari ya mkopo hakuna
 
forondo walikuwaga wakali sana jangwani nako kulikuwaga na madenti watata pale kina renalda,grace nk kina joyce swai na toops lake JAYJOKS,WAKISHUSHWA kuna toops la wakaka hao walikua km saba wao kazi yao kuharibu madenti wa mjini tu
 
Joyce Swai nampata vizuri....daah hivi na ww sijakupitia ama ulikua wa ki local
 
Back
Top Bottom