Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

Yaaani ikifikaga hapo namshukuru Mungu ushamba wangu umenisaidia nimefika hapa lol

hamna sio ushamba kujielewa na wengine kulimbuka na life
mi nlikua napenda sana mziki sass hv nimestaafu kabisa yaani ila kitabu kwanza
 
vibolodinda ngoja tuanze mashambulizi mdogomdogo
 
Imelda nae mbeya, apo unataka kumrusha roho mama ubaya tu huna lolote, sasa apo cha ajabu nn?? Wema mwaego pole wasikuzingue hao na wewe beba mbwa wako ukauze nae sura mliman city

Dah...
Hatar sana...
 
Duh umbea huu ulinipita

Ila watoto wa forondo walikuwa wanaliwa sana na masupastaa uchwara

Jamaa mmoja wa bills (sijui alikuwa anaitwa Charles yule) alikuwa anawatafunajeeee? Kwa kisingizio cha kuandaa maconcert

Hapo hawajaanza kugombea watangazaji wa clouds redio (kina terrence)

pfunky anakuchezea akikupa mimba ndo baas
siku moja mda kidogo nlikutana na muny mwenge lloh alichoka hatarii hapo ndo kashadampiwa
pale forodhani kuna dada mmoja nimemsahau jina alikua anatanua na mutie(rip)
alikua ana gg hosteli katutesa sana ijumaa demu anaenda kwa mzee madiba kula gudtime na rodney jumapili wanarudi zao j3skonga
aiseeehh nilikua nablow sana yaani!!
 
Tatizo kajala anamuanika sana bintiye...

Na wanaume ni mafisi hawachelewi kumharibu

Ninashangaa kwa kuwa wapo wanaoenda pale na mabinti zao warembo tu,
why kajala kila siku?

Take care kwa binti yako hata hivyo, kama vipi fuga umbwa mkali.
 
usemayo ni kweli wengine ukiwaona utawaonea huruma
wamebaki umbea na majungu tu
kuna mabinti wamechezea sana shilingi chooni
leo wanajuta wengine wamebaki kua machangudoa waliokubuhu wana mihuri kila club maarufu wanajulikana na mahoteli ya kujiuza uza hovyoo

kutesa kwa zamu hawajui eehh
 
Duh umbea huu ulinipita

Ila watoto wa forondo walikuwa wanaliwa sana na masupastaa uchwara

Jamaa mmoja wa bills (sijui alikuwa anaitwa Charles yule) alikuwa anawatafunajeeee? Kwa kisingizio cha kuandaa maconcert

Hapo hawajaanza kugombea watangazaji wa clouds redio (kina terrence)

Wakati nimetoka utumwani huyu Terrence alitaka game ya pool na mimi na mwaka 2000 mchezo wa mapool ulikuwa kwenye makasino tu anajuwa nilichomfanya game tatu zote nilimchapa na demu wangu akawa na amani pale Bills, ila leo ukiniuliza pool hata mwanafunzi anaweza kunifunga niliachaga miaka mingi kucheza.
 
Kwani siku hizi meno haipo? Huwezi vunja mifupa?
 
Duh umbea huu ulinipita

Ila watoto wa forondo walikuwa wanaliwa sana na masupastaa uchwara

Jamaa mmoja wa bills (sijui alikuwa anaitwa Charles yule) alikuwa anawatafunajeeee? Kwa kisingizio cha kuandaa maconcert

Hapo hawajaanza kugombea watangazaji wa clouds redio (kina terrence)

na zero brain unawakumbuka enzi zao chapa sana,forondo,kisutu zanaki jangwani sana tuuu
 
Heheheheh

Terrence alikuwa anagombewaje na mabinti?

Heri ulimtoa shobo

Back
Top Bottom